JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chongolo azitaka TAMISEMI,Wizara kumaliza haraka ujenzi wa stendi Moshi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo ameziagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) kukutana kumaliza ujenzi wa stendi ya kisasa ya Ngangamfumini Manispaa ya Moshi. Chongolo ametoa agizo hilo jana…

Prof. Mbarawa: Serikali inafanya uboreshaji wa bandari

Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania imeendelea kusimamia bandari za mwambao na maziwa makuu kwa kufanya uboreshaji ikiwemo kuongeza kina kikubwa ili kuweza kuruhusu Meli za Kisasa kuingia. Akizungumza na jijini Dar es salaam Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa…

Kortini kwa tuhuma za kumrubuni na kumbaka mtoto Serengeti

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Serengeti Mkazi wa Kijiji cha Nyankomogo Kata ya Rigicha, John Warioba Riana (33), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka (13). Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Serengeti Jakobo…

Benki Kuu yatakiwa kuhamasisha wananchi kuwekeza

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya NAIBU Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Yamungu Kayandabila, ameitaka BoT kuongeza uhamasishaji kwa wananchi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, pamoja na shughuli zingine za kilimo, kuwekeza katika dhamana za serikali. Dkt. Kayandabila…

NFRA yakabidhi maghala ya kisasa ya kuhifadhia mazao

Mradi wa kuongeza uwezo wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kufikia uhifadhi wa mahndi kutoka tani 251 mpaka tani laki 501 miradi mitatu ya maghala ya kisasa ya kuhifadhia mazao imekamilika na imekabidhiwa kwa NFRA tayari…