JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (3)

Maisha ni mtihani, uufanye Ili mwanafunzi apande darasa kuna mtihani ambao atapewa ili aufanye, anaposhinda mtihani huo ndipo anapopata nafasi ya kupanda darasa, akishindwa anarudia darasa. Maisha vilevile yanatupa mitihani ambayo hatuna budi kuifanya. Anayekwepa mtihani wake hawezi kusonga mbele,…

Ripoti ya CAG, nafasi ya uwajibikaji kwa Serikali

Wiki iliyopita Rais Dk. John Magufuli akiwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, alipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2019 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mujibu wa sheria…

Dunia yazizima

Wakati dunia ikizizima kutokana na kusambaa kwa ugonjwa wa corona, kamati za maafa katika mikoa mbalimbali nchini zimekuwa katika kipindi cha tahadhari zikisimamia kanuni na maelekezo yanayotolewa na Serikali Kuu za kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo. Hadi tunakwenda mitamboni, ni…

‘Wapatanishwe’ (1)

Nilisoma katika gazeti moja la kila siku Jumatatu, Machi 16, 2020 lenye kichwa cha habari ‘WAPATATISHWE’ na chini yake palikuwa na maneno yalisomeka hivi: ‘Ni ushauri wa viongozi wa dini na wachambuzi kutokana na msuguanao baina ya wanasiasa na vyombo…

ALFRED NOBEL

Aliteswa na uvumbuzi wake Umewahi kumsikia mtu aliyejirudi, akabadilika kutoka mtu mbaya katika jamii na kufariki dunia akiacha sifa nzuri lukuki nyuma yake?  Mmoja wa watu hao ni Mtume Paulo, ambaye kabla ya kuongoka na kuwa ‘Mtu wa Mungu’, aliongoza…

Bunge litunge ‘Sheria ya Corona’

Vita dhidi ya corona ni zaidi ya masuala ya utabibu. Ni vita ya kuunusuru uhai wa watu na uchumi. Tangu mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) uliporipotiwa kwa mara ya kwanza Desemba…