JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chuo cha Bandari chemchemi ya wataalamu

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) pamoja na kumiliki bandari nchini, pia inamiliki Chuo cha Bandari (Bandari College) kilichopo katika Wilaya ya Temeke. Chuo hiki ndicho chemchemi au hazina ya kutoa utaalamu au maarifa ya kuwa na uwezo au…

Ndugu Rais, Bashiru Ally ni wa fungu lipi?

Ndugu Rais, fikra za walio timamu hazijadili watu. Hujadili fikra pevu za watu walio timamu. Kwa walio wengi mpaka leo hawajaelewa ilikuwaje mpaka ndugu Bashiru Ally akateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Namfahamu tu kwa mawazo yake…

Tunaishi maisha halisi au vivuli vya maisha?

Inawezekana leo ninaelekea kujadili mada inayochanganya kidogo. Ili kuijadili vizuri mada hii nitamtumia mwanafalsafa Plato, aliyeona kwa mara ya kwanza ukweli juu ya vivuli na vitu halisi. Na ili kupambana na ulemavu wa fikra, ni muhimu kubungua bongo mara kwa…

Jaguar amechemsha, lakini asipuuzwe

Mbunge wa Kenya, Charles Njagua Kanyi, maarufu pia kama mwanamuziki ‘Jaguar’, ametukumbusha ugumu wa kujenga utangamano wa Wana Afrika Mashariki. Jaguar ameamsha zogo hivi karibuni baada ya kutishia kuwavamia wafanyabiashara wa nchi kadhaa ikiwamo Tanzania na Uganda wanaofanya kazi Nairobi…

Palipo na upendo kuna maisha

Palipo na upendo kuna maisha. Somo la kwanza katika maisha ni upendo. Somo la kwanza la kiroho ni upendo. Somo la kwanza la familia ni upendo. Somo la kwanza la uongozi ni upendo. Somo la kwanza la mafanikio ni upendo….

MAISHA NI MTIHANI (37)

Wivu unaona tabasamu lako hauoni machozi yako   Wivu ni mtihani. Mwenye wivu haonekani mzuri anapokufanya uonekane mbaya. “Baadhi ya watu watakukataa, kwa sababu tu unameremeta sana kuwazidi. Hiyo ni sawa, endelea kumeremeta,” alisema Nandy Hale. Wivu unaona tabasamu lako,…