JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Nigeria kutoa rais wa UNGA

Baada ya miaka 30 kupita Nigeria inaweza kutoa rais wa Baraza la Umoja wa Mataifa (UNGA). Kwa mara ya mwisho Joseph Nanven Garba ndiye aliyekuwa Rais wa UNGA mwaka 1989 kutoka Nigeria. Profesa Tijjani Muhammad Bande ambaye kwa sasa ni…

Mambo 6 kutoka kwa Mengi

Habari mpendwa msomaji. Kwanza kabisa niombe radhi kwa kutoendelea na makala ya ‘Nina Ndoto.’ Makala hizi zitaendelea kama kawaida wiki ijayo. Mapema Alhamisi ya wiki mbili zilizopita ilikuwa asubuhi yenye majonzi kwa Watanzania wengi. Tuliondokewa na mpendwa wetu Dk. Reginald…

Haki itendeke katika hili

Moja ya habari zilizochapishwa na gazeti hili ni kuhusu kupotea katika mazingira ya kutatanisha kwa mtuhumiwa wa uhalifu, Josephat Jerome Hans, akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi mkoani Dodoma. Habari hiyo imeeleza kuwa kijana huyo anatuhumiwa kwa wizi wa Laptop…

Ujamaa… (46)

Katika maisha ya Kiafrika ya kizamani watu wote walikuwa sawa. Walishirikiana pamoja na walishiriki katika uamuzi wowote unaohusu maisha yao. Lakini usawa huu ulikuwa usawa wa kimaskini; ushirikiano wenyewe ulikuwa wa vitu vidogo vidogo. Na serikali yao ilikuwa serikali ya…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (13)

Wiki iliyopita nilisitisha safu hii kwa toleo moja kwa nia ya kuandika juu ya kifo cha mmiliki wa vyombo vya habari, Dk. Reginald Mengi. Hadi leo bado naendelea kusikitika na Watanzania wanasikitika. Hata hivyo, ni lazima maisha yaendelee. Tumwombee huko…

Ndugu Rais kinywa kiliponza kichwa

Ndugu Rais, kinywa kilikiponza kichwa ni maneno yenye hekima yaliyosemwa na wahenga wetu. Jikwae sehemu yoyote, lakini usijikwae ulimi. Maneno yakishamtoka mtu hawezi kuyarudisha mdomoni. Sijui wanakuwa na maana gani wanaosema futa maneno yako. Maneno yaliyokwisha tamkwa hayawezi kufutwa wala…