Latest Posts
Bandari ni salama njoo tukuhudumie
Na Mwandishi Maalum Makala ya mwisho katika mfufulizo wa makala za Bandari tuliona jinsi Bandari ya Mwanza ilivyo kiungo muhimu kwa uchumi na biashara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, nchi za Afrika Mashariki na maeneo mengine. Leo katika makala…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Mchungaji wa Kiprotestanti Docho Eshete aliyekuwa akibatiza watu katika ziwa Ayaba kusini mwa Ethiopia ameuawa na mamba. Mashambulizi yaliyo karibu na mji wa Arba Minch yanahusishwa na kupunguza idadi ya samaki ambacho ni chakula cha Mamba na hivyo kuanza kuvamia…
Simba sc Kuwalipia Kisasi Yanga
Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha. Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo…
Kenya Yapiga Marufuku Kuwatembelea Watoto Shuleni
Wizara ya Elimu nchini Kenya imeivunjilia mbali bodi ya usimamizi wa shule ya Moi Girls na kutangaza kwamba ni marufuku kuwatembelea watoto shuleni baada ya mapumziko ya katikati ya muhula kwa shule zote za upili za umma. Hii ni kufuatia…
BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma
BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
Balozi: Tanzania inapoteza mabilioni
Na Angela Kiwia Balozi John Chagama amesema Tanzania inapoteza mabilioni ya shilingi kutokana na viongozi wachache wenye uchu wa utajiri kuatamia fursa ya soko la mtandaoni. Mwaka 2012, Balozi Chagama na wenzake, walianzisha Kampuni ya Tanzania Commodity Exchange (TCX) iliyopaswa…