Latest Posts
HADITHI; Maisha baada ya chuo – (3)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Tumuachie Mungu, Paul ni mtu anayejitambua, kama yuko hai atakuja,’’ alisema baba yake Paul, japokuwa kauli hiyo ilikuwa na hisia ya kukata tamaa ndani yake, akihisi mwanae pengine alikuwa amekufa au ametekwa na…
King Kiki naye yupo kitandani
Kikumbi Mwanza Mpango, maarufu kwa jina la King Kiki au Bwana Mukubwa, kwa sasa haonekani majukwaani kutokana na maradhi ya uti wa mgongo yanayomsumbua kwa muda mrefu. Taarifa hii inakuja wakati mkongwe mwingine wa muziki wa dansi nchini, Hassan Bitchuka,…
Vijana na mapinduzi ya Tanzania – (2)
Narudia kutamka kwamba vijana ni nguvukazi mahali popote. Ni kundi kubwa kuliko la wazee katika kufanya kazi. Ni kundi jipya lenye fikra na mawazo mapya, fahamu pevu, imara na jasiri katika kupambana na vikwazo vya uchumi au mambo ya dunia….
BUZWAGI INAFUNGWA… Wananchi wanaachwa vipi?
Mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi uliomo ndani ya Manispaa ya Mji wa Kahama unatarajia kuacha uzalishaji Juni mwaka huu, na kufungwa kabisa ifikapo mwaka 2026. Bila shaka habari hii si njema sana kwa wakazi wanaouzunguka mgodi huo, kwa kuwa…
Yah: Uvumi wa mambo kwa teknolojia
Kama kawaida lazima nianze na salamu, ndio uungwana ambao sisi tuliozaliwa zamani tulifundishwa bila viboko wala matusi. Tulifundishwa na mtu yeyote aliyekuzidi umri lakini pia tuliwasikiliza na kuwatii waliotuzidi umri kama wazazi wetu, lakini pia tulipokea adhabu kutoka kwa yeyote….
Mikataba ya mafuta yavunja rekodi robo ya nne 2020
Licha ya Corona kuendelea kuitikisa dunia lakini mikataba inayohusiana na shughuli za mafuta na gesi ziliongezeka katika robo ya nne ya mwaka jana katika eneo la Afrika na Mashariki ya Kati, ripoti inaonyesha. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na GlobalData inaonyesha…



