Latest Posts
Kamwe tusijisahau, tuwe macho dhidi ya magaidi
Kwa mara nyingine genge la magaidi limeshambulia na kuua majirani zetu kadhaa wa jijini Nairobi, Kenya. Imeripotiwa watu 21 wamepoteza maisha kwenye shambulizi hilo. Tunawapa pole ndugu wa marehemu, majeruhi na wote walioathiriwa kwa namna moja au nyingine na tukio…
Nina ndoto (3)
Kila mtu aliyepo duniani ana sababu ya kwanini alizaliwa. Mungu haumbi mtumba. Mungu anaumba vitu orijino kabisa. Hakuna aliyezaliwa aje duniani kuzurura. Hakuna aliyezaliwa aje kusindikiza wengine duniani. Maisha ni zawadi tuliyopewa na Mwenyezi Mungu. Kuna kila sababu ya kuketi…
Congo yawapuuza wanaobeza uchaguzi
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekataa katakata wito uliotolewa na Umoja wa Afrika (AU) kucheleweshwa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais. AU wanasema kuwa wana wasiwasi mkubwa kuhusu uadilifu wa matokeo ya mapema ambayo yalimpatia ushindi, Felix…
Watu 70 waungua moto
Mexico Bomba la mafuta nchini Mexico limelipuka na kuua watu zaidi ya 70 huku wengine 71 wakijeruhiwa vibaya baada ya watu wasiofahamika kutoboa bomba hilo kwa nia ya kuiba mafuta. Katika mji wa Tlahuelilpan, Jimbo la Hidalgo, mwishoni mwa wiki…
Kukojoa mara kwa mara, sababu zinazochangia na suluhisho
Kukojoa ni njia inayotumiwa na mwili kutoa takamwili mbalimbali. Ni muhimu kwa mnyama kukojoa kwa sababu kupitia mkojo mwili unatoa uchafu mwingi usiohitajika mwilini kama vile maji ya ziada yasiyotumika mwilini. Pamoja na umuhimu wa kukojoa, kukojoa mara nyingi kwa…
Rais Magufuli, Dk. Mpango jengeni wafanyabiashara (3)
Wiki iliyopita katika makala hii nimezungumzia umuhimu wa kuwa na wafanyabiashara. Nimeeleza wafanyabiashara walivyo na fursa ya kutumia miundombinu inayojengwa kama reli kwa kusafirisha mizigo ya biashara, ndege kuwahi vikao na barabara kwa malori kusafirisha mizigo kila siku tofauti na…