JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Balozi Asha-Rose Migiro atembelea kambi ya timu ya Tanzania

BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro ametembelea kambi ya wanamichezo wa Tanzania wataoshiriki kwenye Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola iliyopangwa kuanza Julai 28, 2022, na kuwatakia kila la heri kwenye michuano hiyo inayoshirikisha jumla ya nchi…

Kinana, Shaka watua Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Katavi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi itakayokwenda sambambamba na kupokea taarifa na kukagua miradi ya maendeleo. Katika ziara hiyo ya…