Latest Posts
Wamarekani, Waafrika Kusini watuache
Taifa linahitaji fedha. Haya mambo makubwa ya kimaendeleo yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano yatawezekana tu endapo ari ya kubuni, kuendeleza na kusimamia vyanzo vya mapato ya ndani vitatambuliwa na kulindwa kwa nguvu zote. Kama ambavyo Rais John Magufuli…
Yah: Nakumbuka disko la JKT, nadhani lirudi
Kama ilivyo ada ya muungwana, salamu ni jambo muhimu sana kwa msomaji wa safu hii ya kizuzu. Utakubaliana nami kwamba sijawahi kuacha kuwajulia hali. Hii inatokana na mafunzo niliyopata nikiwa kinda kwa wazazi wangu na mwishowe mafunzo ya uzalendo kwa…
Viongozi wetu wanao ukweli, wajibu na uzalendo?
Nimepata kumsikia kiongozi mmoja wa siasa hapa nchini akisema hawezi kuipongeza serikali, yeye ni mzalendo. Serikali kufanya jambo zuri ni wajibu wake. Yeye ni opposition. Yupo hapo ili kuangalia mambo ambayo hayajatekelezwa, hayajafanywa vizuri na serikali. Anasema serikali ikifanya vizuri ni…
Vee Money: Aachana na Sheria, afanya muziki
Inawezekana ukawa haufahamu historia ya msanii, Vanessa Mdee (Vee Money). Kupitia makala hii una nafasi ya kutambua alikozaliwa, alivyoanza muziki na hata mafanikio yake aliyoyapata kupitia tasnia hiyo ya muziki wa Bongo Fleva. Vee Money alizaliwa Juni 7, 1988 jijini…
Simba kumekucha
Ni shangwe kila kona ya nchi, mabingwa wa soka wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/2018, Simba SC imetoa zawadi ya Sikukuu ya Mapinduzi kwa Watanzania. Simba imeiadhiri JS Saoura ya Algeria katika mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika…
Hujuma korosho
Juhudi za Rais John Magufuli kudhibiti magendo katika biashara ya korosho, maarufu kama ‘kangomba’ zinaelekea kuingia doa kutokana na watendaji aliowaamini katika ngazi ya wilaya kushiriki biashara hiyo, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Taarifa kutoka mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi…