JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uislamu uanze na familia yako

Familia ni miongoni mwa maneno ambayo hakuna muafaka wa fasili yake. Kiujumla, familia ni kundi la watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto.  Kikundi hiki mara nyingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili…

Afrika haina shangazi wala mjomba

Bunge la Burundi limepitisha sheria itakayoidhinisha malipo kwa Rais Pierre Nkurunziza ya dola za Marekani 530,000 (Sh bilioni 1.22) na kumjengea kasri atakapostaafu, pamoja na posho anayopata mbunge. Wapo watakaoshangaa ukubwa wa mafao hayo, lakini wapo wanaoona kuwa malipo hayo…

Mabaraza ya ardhi ya kata yanabananga kesi za watu

Nimeandika mara kadhaa na kusisitiza kuwa Katibu wa Baraza la Ardhi la kata si mjumbe wa baraza hilo. Kwa sababu si mjumbe, hivyo ni kosa kubwa kumhesabu kama mjumbe. Kwa wasiojua lolote kuhusu Baraza la Ardhi la Kata ninaongelea chombo…

Shule za Serikali zinakwama wapi?

Januari 9, mwaka huu Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) lilitangaza matokeo ya mitihani mitatu ya kitaifa iliyofanyika mwaka jana.  Baraza la Mitihani lilitangaza kwa pamoja matokeo ya mtihani wa kujipima wa darasa la nne, kidato cha pili na ile…

Lugola amevuna alichopanda, asimlaumu mtu

Wakati Rais Dk. John Magufuli anatangaza kumtumbua Kangi Lugola kutoka kwenye uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, alisisitiza sana neno unafiki. Kwamba yeye si mnafiki.  Akasema kwamba Lugola ni mwanafunzi wake na rafiki yake, lakini alichokifanya kwenye kazi ya umma…

Uhuru, Mapinduzi na Muungano ni muhimu kwetu (2)

Katika miaka 58 ya Uhuru na miaka 56 ya Mapinduzi hamna kilichofanyika kuwaletea maendeleo ya kiuchumi na kijamii Watanzania. Aidha, katika Muungano hamna faida kwa Wazanzibari, bali kuna mafanikio kwa Watanganyika. Kauli hizi zina ukakasi na mzizimo kwa Watanzania. Maneno…