Latest Posts
Utekwaji wa Mo Dewji: Yatakayojiri
Kutekwa na kupatikana kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji (Mo) kutaleta athari kubwa katika mienendo ya maisha ya watu maarufu. Hatuwezi kubashiri iwapo zitakuwa athari nzuri au mbaya. Kwanza, na ambalo litajitokeza mara moja ni kupanda kwa maombi ya umiliki…
Kumpa notisi mtu usiyejua makazi yake
Unatakiwa kumpa mtu notisi lakini haujui anakoishi, hauna pa kumpata, au unajua anakoishi lakini anakukwepa. Wakati mwingine ukienda kwake haufunguliwi mlango au hata ukifunguliwa unaambiwa hayupo. Au yupo umemuona lakini anakataa kabisa kupokea notisi au kuisaini. Unafanya nini katika mazingira kama…
Werrason alivyoitosa Wenge Musica (2)
Vijana wengi wa kizazi kipya cha muziki wa Kongo waliowahi kupitia kwa Werrason ni Ferre Gola, Heritier Watanabe, Fabregas, Robinho Mundibu, Bill Clinton, Celeo Scram, Brigade, Capuccino le Beau Gars, Didier Lacoste na Flamme Kapaya. Tangu mwaka 2000, Werrason anamiliki Shirika…
Ninataka ushindi – JPM
Rais Dk. John Magufuli, amekutana na kuwaambia wachezaji wa timu ya taifa ya soka (Taifa Stars) kwamba hafurahishwi na matokeo ya timu hiyo, hasa katika kampeni ya kufuzu kucheza fainali za mashindano ya Bara la Afrika (AFCON) mwaka 2019 nchini…
Mwalimu Nyerere alivyoenziwa
Kumbukizi ya miaka 19 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, afariki dunia imemalizika huku wananchi wengi wakitaka kiongozi huyo aenziwe kwa vitendo. Wananchi walioshiriki mijadala kwenye mitandao ya kijamii, redio, televisheni, magazeti na makongamano wameipongeza Serikali ya Awamu…
Tanzania itajengwa na wenye moyo!
SIMULIZI YA KATIBU MUHTASI WA MWALIMU NYERERE Jumamosi, Oktoba 22, 1966, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine jijini waliandamana kwenda Ikulu wakiwa na mabango yaliyoandikwa maneno machafu dhidi ya Serikali ya Awamu ya Kwanza…