Latest Posts
Viwanja, mashamba ya Musukuma kupigwa mnada
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma. Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi…
Mwongozo wa adhabu kwa wanafunzi
Katibu Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Winifrida Rutaindurwa ametoa onyo kwa Walimu wanaowaadhibu wanafunzi bila kuzingatia Sheria Kanuni na Taratibu zinazotoa mwongozo wa aina, kiwango na namna adhabu inavyotakiwa kutolewa kwa wanafunzi. Amesema kuwa kutoa adhabu ya…
Ushuru huu unakwenda wapi?
Wiki iliyopita kama ilivyo ada yake, Mpita Njia (MN) alikuwa miongoni mwa abiria waliotumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka au maarufu kama ‘mwendo kasi.’ MN alitumia usafiri huo wa mwendo kasi majira ya saa 12:30 jioni kutoka kituo cha jiji…
BHOKE 362
Ni kweli tuna matatizo mengi – kuanzia ukosefu wa ajira, elimu duni, kilimo duni, huduma duni za afya, miundombinu duni, ukosefu wa maji safi na salama kwa watu wetu, demokrasia changa, utawala dhaifu na kumomonyoka kwa maadili kwa baadhi ya…
Je, unajua shehena ya mafuta, gesi inavyohudumiwa bandarin
Na Mwandishi Maalumu Makala ya wiki hii katika mfululizo wa makala za bandari, mwandish shehena za mafuta na gesi zinavyohudumiwa katika bandar Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), hususan katika Bandari ya Shehena za mafuata huagizwa na Petroleum Bulk Procureme ambao…
Jaji anyang’anywa jalada la mauaji Moshi
Na Charles Ndagulla, Moshi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Aishiel Sumari, amenyang’anywa jalada la kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi (16), JAMHURI limebaini. Hatua hii…