JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndugu Rais shangazi kutangulia sikupi pole

Sehemu ya kwanza, nilieleza kuwa wanahistoria wanasema hadi karne ya 17 (miaka ya 1600 AD), duniani hapakuwapo kitu kinachoitwa au kinachojulikana kama CHAMA CHA SIASA tangu enzi za Wagiriki. Endelea….   Enzi za utawala wa Warumi (The Roman Empire) kulikuwa…

UJAMAA SI UBAGZI

Ujamaa hauna uhusiano na ragi, wala nchi atokayo mtu. Mtu yeyote mwenye akili, mwenye kuamini Ujamaa au asiyeamini, anafahamu kwambawako waminio Ujamaa katika nchi za Kibepari, na wanaweza kupatikana waaminio Ujamaa kutoka nchi za Kibepari. Mara nyingi watu wa namna…

Tunatoa Pole kwa Mama Mzazi wa Mbunge ‘Sugu’ Ambaye Amefarik Dunia Jana

Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia jana Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu. Uongozi wa Jamhurimedia unatoa pole kwa mbunge Sugu pamoja na Familia yake,…

Magazetini Leo, Agosti, 27, 2018

Good Morning Mtu wangu wa nguvu !! kutoka DSM Tanzania leo August 27, 2018 nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.