Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini hapa nchini Mhe. Noluthando Mayende-Malepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Afrika Kusini hapa nchini Mhe. Noluthando Mayende- Malepe mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufalme wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Hyghebaert katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Agosti, 2022.

By Jamhuri