Latest Posts
MTULIA ATAJA KERO ATAKAYOANZA NAYO AKIWA MBUNGE
MGOMBEA ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdallah Mtulia ameendelea kuomba kura huku akiwaambi wananchi yeye hana tofauti na wao. Mbunge wa jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni jana jioni katika viwanja…
Kesi ya Jamal Malinzi Yapigwa Tena Karenda
Kesi inayomkabili aliyewahi kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ya kuhujumu uchumi imeahirishwa mpaka Feburuary 22, 2018 ya mwaka huu. Chanzo cha kuahirishwa kwa kesi hiyo ni kutokana na DPP kushindwa kukamilisha kusaini hati ya…
DIAMOND NA HAMISA MOBETTO WAFIKISHANA TENA MAHAKAMANI
Mwanamuziki Diamond Platnumz na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalohusu matunzo ya mwanao. Novemba 10 ,2017 Hakimu Devotha Kisoka wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu…
TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AMEFARIKI DUNIA
TANZIA Mwanasiasa Tambwe Hizza amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Tambwe Hizza alikuwa katika timu ya waratibu wa kampeni za mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu.
WATU ZAIDI YA 20 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA ANGA NCHINI SYRIA
Takriban watu 23 wameuawa hadi sasa katika mashambulio ya anga ya vikosi vya serikali nchiniĀ Syria katika eneo la mashariki mwa Ghota karibu na mji wa Damascus, kuna kodaiwa kuwa ni ngome ya waasi. Waangalizi wa haki za binadamu kutoka…
KOREA KASKAZINI KUONYESHA UIMARA WA JESHI LAKE KABLA YA OLIMPIKI
Korea Kaskazini linatarajiwa kuandaa maadhimisho ya 70 ya gwaride la jeshi lake kabla ya kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi nchini Korea Kusini. Gwaride la kila mwaka la Pyongyang linaloadhimisha kuanzishwa kwa jeshi la Korea Kaskazini limekuwa…