JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

KOCHA WA TAIFA WA HISPANIA ACHUKUA MIKOBA YA ZIDANE REAL MADRIDI

Kocha Julen Lopetegui ametangazwa kuchukua mikoba ya Kocha Zinedine Zidane aliyeamua kuachia ngazi. Lopetegui mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa anainoa timu ya taifa ya Hispania inayoshiriki Kombe la Dunia. Kocha huyo kijana ataanza kazi mara moja baada ya…

Mavugo Afunguka Mstakabali wake na Klabu ya Simba

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, amefunguka na kueleza kuwa mkataba wake na klabu yake unamalizika Julai 7 2018. Wakati mkataba wake ukielekea kumalizika, Mavugo amesema Yanga ni moja ya timu zinazomuwinda hivi sasa kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake….

Kim Jong-un na Trump waalika kwenye Nchi Zao

Shirika la habari la serikali nchini Korea Kaskazini limesema kuwa kiongozi wa taifa hilo Kim Jong Un amekubali mwaliko wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kufika Washington. Kiongozi huyo alipewa mwaliko wakati wa mkutano wa historia baina ya wawili…

Mjumbe wa Nyumba 10 Amgaia elfu 10 Paul Makonda

Mjumbe wa Nyumba kumi kinondoni amgaia shillingi elfu 10, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda. Tukio hilo limetokea leo Kinondoni ambapo Rais Magufuli alitembelea kukagua ujenzi wa Msikiti unaojengwa kwa msaada wa Kiongozi wa Morocco. Mjumbe…

Maisha ya Maria na Consolata

Baada ya kuwapo sintofahamu juu ya nini hasa kilichowua watoto mapacha Maria na Consolata, Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI limeamua kutafuta ukweli wa chimbuko la kifo cha mapacha hawa, ambao hatimaye sasa umefahamika. Mapacha hao Maria na Consolata, walifariki dunia…