Latest Posts
Raia wa Syria Waandamana kupinga Mashambulio ya Uturuki
Maelfu ya watu katika mji uliodhibitiwa na wakurdi Afrin, kakazini mwa Syria wamefanya maandamano kupinga mashambulizi yanaoendeshwa na Uturuki. Uongozi wa ndani wa eneo hilo, wametoa tamko kwa mataifa ya nje kusaidia kusimamisha mapigano hayo, na wameishutumu Urusi kuhusika na…
NHIF TANGA WAENDELEA KUHAMASISHA MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kupitia kipeperusi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha…
NAIBU WAZIRI WA MADINI BITEKO ATATUA MGOGORO WA LESENI YA MADINI ULIODUMU KWA MIAKA KUMI MKOANI SHINYANGA
Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akihutubia mamia ya wachimbaji wadogo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mwazimba, Kata ya Chela, Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Jana Februari 3, 2018. Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka…
ASAS: CCM ITAWASHUGHULIKIA WATENDAJI WOTE WA SERIKALI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI
MJUMBE wa Halmashauri kuu CCM Taifa (NEC ) Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itahakikisha inamshughulikia mtendaji yeyote wa serikali atakayeonyesha dalili ya kukwamisha juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Kauli hiyo aliitoa mwishoni…
RAIS MAGUFULI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI WAO WASIJIHUSISHE NA MIGOGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi na waumini wa madhehebu ya dini nchini kujiepusha na migogoro ambayo imekuwa ikiharibu sifa na heshima ya taasisi hizo muhimu katika jamii. Mhe. Rais Magufuli ametoa…