Latest Posts
Tuishi kirafiki na mazingira tuepuke majanga
Na Dk. Felician Kilahama Kuna usemi usemao “hakuna lisilowezekana chini ya jua.” Nimejiuliza mara kadhaa chimbuko la usemi huo ni nini, na bado sijapata jibu la uhakika. Pengine kilichomaanishwa ni kuwa na ari ya kutaka kufanikisha jambo muhimu katika maisha….
Tuliza moyo, tamaa mbaya
Zipo njia nyingi za kutuma ujumbe kutoka upande mmoja kwenda wa pili. Njia hizo ni kama vile barua, shairi, wimbo na nyinginezo. Kila ujumbe una madhumuni na malengo yake. Mathalani kuelimisha, kuhamasisha, kutoa taarifa fulani na kadhalika. Wimbo ni tungo…
Yah : Naanza kuandika historia ya maisha yangu (5)
Nilimalizia waraka wangu wa wiki iliyopita nikielezea jinsi nilivyomuona Mwalimu akiwa amechoka katika mapambano ya kuliongoza taifa. Alichoka kwa kulipitisha taifa katika mambo mengi, lakini hapa kuna sababu kubwa ambayo ningependa Watanzania waijue vizuri. Wakati taifa hili likipata Uhuru, wasomi…
MAFANIKIO KATIKA AKILI YANGU (10)
Na Phabian Isaya Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Sasa wewe kazana, hakikisha unatengeneza wigo wa watu wengi wenye tija, alimsihi Noel katika hilo. Kadiri Noel alivyokuwa akizungumza na Profesa Alison Ziki (Mzimbabwe) katika simu, ndivyo alivyozidi kupata hamasa…
Eti hawavijui hata viwanja vyao!
NA CHARLES MATESO Wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Pombe Magufuli, alipotoa agizo kwa wasaidizi wake nchi nzima kuhusu kuorodhesha mali zote za chama hicho, nikakumbuka uwepo wa viwanja vingi vilivyochakaa. Kauli ya Magufuli kutaka kuorodhesha mali sahihi ni…



