Latest Posts
SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) LATILIA MKAZO SWALA LA KUUMWA NA NYOKA
Nchi wanachama wa mkutano wa shirika la afya duniani wamepitisha azimio la kutambua kuumwa na nyoka kuwa ni suala linalohitaji kupewa kipaumbele katika kulishughulikia. Maelfu ya watu hufa kila mwaka na wengine kuwa walemavu kutokana sumu inayotokana na shambulio la…
RUVU SHOOTING YAGOMA KUFUNGWA NA YANGA TAIFA
Ruvu Shooting imeilazimisha Yanga sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Yanga walikuwa wa kwanza kujipatia bao katika dakika ya 19 ya mchezo kupitia kwa Matheo Anthony kabla ya Ruvu Shooting kusawazisha ikiwa ni dakika ya…
RC DKT. KEBWE AAGIZA WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI GAIRO WAKAMATWE
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipokea maelezo ya wizi wa pampu ya maji kutoka kwa mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe katika Kijiji cha Italagwe Kata ya Italagwe ili kuweza kuwalejeshea wanachi maji. Picha…
WAZIRI MKUU AWAPOKEA WANACHAMA WAPYA 89 KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama saba kutoka vyama vitatu vya upinzani ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) na wengine 82 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao walikuwa wapiga debe. Wanachama hao wamepokelewa leo mchana (Ijumaa, Mei 25,…
WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi. Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018)…