Latest Posts
Hongera Hospitali ya Sinza Palestina
Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ndivyo Mpita Njia (MN) anavyoweza kusema baada ya kupata huduma katika Hospitali ya Sinza (Sinza Palestina). Tangu zama za Awamu ya Pili ya uongozi wa taifa letu, Mpita Njia amekuwa mgumu kuziamini huduma…
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (35)
Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Watu wanaokuzunguka ni sababu ya mafanikio. “Unakuwa na kama watu watano ambao unatumia muda mwingi ukiwa nao. Wachague kwa uangalifu, ” alisema Jim Rohn. Mtazamo chanya unaambukiza. Mafanikio yanaambukiza. Mark Ambrose alisema: “Nionyeshe rafiki zako…
Sasa Trump hataki maziwa ya mama
Katika enzi hizi,miongoni mwa viongozi wanaoendela kushangaza dunia kwa uamuzi na matamshi yake ni pamoja na Rais Donald Trump wa Marekani. Na siyo kwa masuala hasi pekee. Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukaa meza moja ya majadiliano na…
IGP anzisha kampeni ajali za barabarani
Mhariri salamu, Nimeamua kuandika barua hii kwako Inspekta Jenerali wa Polisi wa Tanzania (IGP) ikufikie kupitia Gazeti la JAMHURI, nikiwa raia wa Tanzania na mdau wa usalama barabarani, nimeona nitoe mchango wangu wa mawazo katika kupambana na ajali za barabarani….