Latest Posts
Hali ni Tete Sudan Kusini
Tangu serikali ya Sudan Kusini kuikamata kambi ya waasi Kusini Magharibi mwa nchi hiyo wiki iliyopita, mamia ya wakimbizi wameendelea kukimbilia nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Miongoni mwao huenda wamo waasi, na jeshi la Kongo ambalo linahofia…
Wabunge Walaani Kuchomwa kwa Nyumba ya Kabila
Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu walilaani kitendo cha kuchomwa kwa nyumba ya rais Joseph Kabila. Katika taarifa ya pamoja, wabunge hao walikiita kitendo hicho kuwa cha kinyama na kutoa wito kwa raia kuotojihusisha na vitendo ambavyo vingechangia…
ASANTE MUNGU, SASA TUNDU LISSU AFANYA MAZOEZI YA KUTEMBEA
HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika na ameanza rasmi kufanya mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ambako anapatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma…
LIVERPOOL, TOTTENHAM, CHELSEA YATOA VIPIGO, MAN UNITED YASHIKWA SHARUBU NA BURNLEY
Ligi kuu nchini uingereza iliendelea tena jana kwa mechi kazaa ambapo liverpool imeitandika Swansea City kwa magori 5-o, magaori hayo yalifungwa na Roberto Firmino ambaye alifunga magori mawili dakika 52 na 66 , magoli mengine yalifungwa na Trent Alexander-Arnold alifunga…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 27, 2017
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Disemba, 27, 2017 nimekuekea hapa
BALOZI WA VENEZUELA ATIMULIWA CANADA
Canada imetangaza kumfukuza balozi wa Venezuela Wilmer Barrientos Fernández Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Chrystia Freeland alisema hatua hiyo ni jibu kwa kufukuzwa kwa mwanadiplomasia wake wa cheo cha juu kutoka Venezuela mwishoni mwa wiki. Venezuela iliilaumu Canada…