Latest Posts
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (28)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii katika sehemu ya 27 kwa kuhoji hivi: “Sitanii, wapo watu wanalipa kodi vizuri, lakini mwisho wa siku wanapata matatizo kwa kutopeleka ushahidi kuwa wamelipa kodi TRA. Je, unafahamu kodi zinalipiwa wapi ikiwamo VAT? Usikose sehemu…
Nje ya magereza wapo wanaoonewa
Hivi karibuni Rais John Magufuli kwa uwezo aliopewa na Katiba ya nchi aliwasikiliza wafungwa waliomo gerezani Butimba, Mwanza na kubaini kwamba wapo walioonewa na kuwekwa gerezani kwa njia za ukatili tu kama kukomolewa. Akaamuru waondolewe. Hiyo ni hali ya utu…
UJUMBE KUTOKA IKULU
HOTUBA YA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA MAZUNGUMZO NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA, IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 30 AGOSTI 2019 Ni heshima kubwa kwangu…
BURIANI KOMREDI IBRAHIM MOHAMED KADUMA
‘Kikitokea chama kama CCM ya Nyerere kitatawala milele’ Mwaka 2012 Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano maalumu na mzee Ibrahim Kaduma nyumbani kwake Makongo Juu, Dar es Salaam. Tunaleta sehemu ya mahojiano hayo kama tulivyoyachapisha wakati huo. Mzee Kaduma alifariki…
Bandari: Usalama wa mizigo 100%
Miaka michache iliyopita, Bandari ya Dar es Salaam ilikuwa na changamoto ya usalama wa mizigo ya wateja. Mhandisi Deusdedit Kakoko alipoteuliwa Juni 25, 2016 kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), aliahidi kuimarisha ulinzi na kuondoa udokozi bandarini….
Wanaiingiza nchi katika machafuko wakisingizia wanakupenda
Ndugu Rais, walituambia kukaa kimya ni kukubali yote; bali kukemea yasiyofaa ndiyo busara na hekima ya kiongozi bora. Watu wako baba wanakupenda kama walivyowapenda marais wengine waliokutangulia. Sasa huu wasiwasi unatokea wapi? Watu wamejaa wasiwasi mwingi katika macho yao. Wasiwasi…



