Latest Posts
Mbunge wa Uganda Robert Kyagulanyi Kurejea Uganda Leo
Mbunge wa Kyandodo Mashariki mwa Uganda, Robert Kyagulanyi ambaye pia ni mwanamuziki maarufu nchini humo ajulikanaye kama Bobi Wine anatarajia kurudi nchini Uganda leo akitokea nchini Marekani ambapo alienda kupata matibabu baada ya kupigwa na vyombo vya dola. “Nitarejea nyumbani…
KOCHA CHELSEA AWATAJA WAFUNGA MABAO BORA LIGI KUU ENGLAND
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu na kujishindia tuzo ya mfungaji mabao bora Ligi ya Premia, kwa mujibu wa meneja wa klabu hiyo Maurizio Sarri. Kwa mujibu wa BBC, Hazard alifunga mabao matatu dhidi ya…
Kimbunga Mangkhut chaua watu 30 Ufilipino chasambaa mpaka Hong Kong
Watu zaidi 30 wameuawa baada ya kimbunga Mangkhut kupiga kaskazini mwa Ufilipino. Wengi kati yao walikumbwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa. Maeneo mengi ya kisiwa cha Luzon yamejaa maji, yakiwemo mashamba ambayo huzalisha mazao makuu nchini humo…
Julius Kalanga Aibuka Kidedea Jimbo la Monduli
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MONDULI. Julius Kalanga (Pichani) ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM, baada ya kupata kura 65, 714 dhidi ya kura 3,187 alizopata mshindani wake Yonas…
Emmanuel Amunike Aenda Mapumzikoni Hispania
Baada ya kuingoza Taifa Stars kwenda suluhu ya kutofungana na Uganda The Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019, Kocha Emmanuel Amunike amekwea pipa kuelekea Hispania. Amunike ameondoka nchini na shirika la ndege ‘Qatar Airways’ kuelekea nchini huko…





