JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Balozi Nchimbi : Fidia ya mifugo iliyotaifishwa lihitimishwe

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Serikali, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, kuratibu mazungumzo ya kuwalipa fidia wafugaji ambao mifugo yao ilitaifishwa lakini walishinda kesi mahakamani, ili suala hilo limalizike. Balozi…

Israel, Iran zatishiana kufanya uharibifu, mzozo wafukuta zaidi

Israel imefanya wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumapili wakati Tehran nayo ikijibu kwa makombora mapya. Pande zote mbili zimetishia kufanya uharibifu zaidi katika mzozo ambao unaonekana kufukuta zaidi. Mamlaka za Israel zimewaelekeza raia kuelekea kwenye maeneo…

Serikali itaendelea kuwalinda wazee – Naibu Waziri Mwanaidi

Na WMJJWMM-Shinyanga Serikali inaendelea kuhakikisha Wazee wanaishi kwa usalama na kulindwa dhidi ya vitendo na aina yoyote ya ukatili kupitia afua mbalimbali ikijumlisha sera, kanuni na mikakati mbalimbali. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…