JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waandishi wa habari Afrika wajengewa uwezo kuripoti mabadiliko ya tabianchi

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia – Arusha. Katika kipindi ambacho Tanzania na nchi nyingine za Afrika zinaendelea kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, Shirika lisilo la kiserikali la Media for Environment, Science, Health and Agriculture (MESHA) limetoa mafunzo kwa njia…

Chalamila arejesha fedha za aliyetalipwa kiwanja Wazo

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila,amelipa sh.mikioni tano kwa Glory Munisi ,aliyetapeliwa kiwanja kwa uzembe wa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa Kinondo kata ya Wazo. Chalamila amemuamuru Mwenyekiti wa Mtaa…

UN yataka Urusi kutoshambulia miundombinu ya nishati Ukraine

Umoja wa Mataifa umeitolea wito Urusi kuacha kushambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine, ambayo yamesababisha kukatika kwa umeme katikati ya kipindi cha baridi kali. Mkuu wa Shirika la Haki za Binaadamu la umoja huo Volker Turk amesema mashambulizi yasiyokoma yanayofanywa…

Trump: Iran itakuwa ‘chungu sana’ ikiwa hakuna makubaliano

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani na Iran lazima zifikie makubaliano na anaamini kuwa makubaliano hayo yanawezekana ndani ya mwezi ujao. Rais wa Marekani alisema iwapo hakutakuwa na makubaliano, ataingia katika awamu ya pili, jambo ambalo litakuwa chungu sana…

Wanahabari watakiwa kuandika habari za amani na kujali usalama wao

Na Mwandishi wetu, JamhiriMedia,Arusha Taasisi ya waandishi wa habari ya kusaidia jamii za pembezoni (MAIPAC) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari nchini jinsi ya kuandika habari zinazochochea amani na kulinda usalama wao wakati wa migogoro. Mafunzo hayo yameshirikisha waandishi wa…

Waziri Dk Gwajima azindua mkakati wa kitaifa wa kisekta wa kutokomeza ukeketaji

Na Saidi Saidi WMJJWM – Arusha‎ ‎Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mkakati wa Kitaifa wa Kisekta wa Kutokomeza Ukeketaji nchini (2025/2026–2029/2030) katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga…