Latest Posts
Asili ya vyama vya siasa
Hapa nchini Tanzania nadhani hata huko ughaibuni kwenye nchi zinazojulikana kama za ulimwengu wa kwanza, wananchi wanazungumzia uwepo wa vyama vya siasa na demokrasia. Vyama vyenyewe kwa asili yake vilianza wapi na vilianza namna gani katika nchi zile, haijaelezwa wazi….
Ndugu Rais kwa unyama huu toa kauli
Ndugu Rais, unyama unaofanywa na baadhi ya polisi katika nchi yetu unazidi kuongezeka kila uchao. Leo tunashuhudia unyama huu ukifanywa na polisi hawa au yule, kesho tunashuhudia unyama mkubwa zaidi. Habari sasa ni polisi na unyama na unyama na polisi….
Kiswahili ni lugha yetu, vipi tunakibananga?
Na Angalieni Mpendu Historia inatueleza kuwa Kiswahili ni lugha kongwe miongoni mwa lugha mama nyingi zilizopo hapa nchini. Ni lugha adhimu, nadhifu na ni titi lisilokwisha hamu. Lakini baadhi ya Watanzania wanakibananga katika utumizi wake. Iwe katika msingi wa ujeuri,…
Kutotoa matunzo ya mtoto kifungo ni miezi sita
Na Bashir Yakub Wako watu bado wanalichukulia suala la kutoa mahitaji kwa mtoto kama suala la madai ya kawaida. Wanadhani ni suala ambalo linamhusu mama mzazi na ba basi, wao kama wao tu. Kwa maana ni suala la kuzungumza tu…
Uongozi Bora
(d) Uongozi Bora TANU inatambua umuhimu wa kuwa na Uongozi Bora. Tatizo lililopo ni ukosefu wa mipango maalum ya kuwafundisha Viongozi, na kwa hiyo Ofisi Kuu ya TANU ni budi itengeneze utaratibu maalum kuhusu mafundisho ya Viongozi tangu wa Taifa…
Bobi Wine kufikishwa mahakama ya kijeshi leo.
Mbunge ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini Uganda Robert Kyagulanyi jina maarufu Bobi Wine leo anatarajiwa kurudishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu kaskazini mwa Uganda. Taarifa hiyo imewashtua mawakili wake ambao awali walijuzwa kuwa kesi itasikilizwa katika kambi ya kijeshi…





