JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Moto wateketeza bweni, waua watoto wenye ulemavu watatu Shinyanga

Bweni la kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu cha Buhangija limeteketea kwa moto na kusababisha vifo vya wanafunzi watatu wa kike wenye ulemavu wa macho Mkoani Shinyanga. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amesema…

Tanzania, Oman kushirikiana katika sekta ya mawasiliano

Tanzania na Oman zameweka mikakati ya ushirikiano katika sekta ya Mawasiliano, Habari na Teknolojia ambapo nchi hizi mbili zinaweza kutumia vyombo vyake vya habari kuhabarisha umma katika masuala mbalimbali ya kijamii, kutangaza tamaduni na kubadilishana ujuzi wa teknolojia. hayo yamebainishwa…

Wadau Marekani Kuupaisha muziki wa Tanzania kimataifa

Seattle, Washington State, Marekani Muziki na sanaa nyingine za Tanzania vitapata fursa nyingine muhimu kuzidi kupaa na kujinadi kimataifa kufuatia mazungumzo yaliyofanyika kati ya wawakilishi wa Serikali ya Tanzania na wadau wa sanaa katika mji wa Seattle nchini Marekani. Mazungumzo…

Auawa kwa kukatwa mapanga mkoani Shinyanga

Mwanamke mmoja (50),Mkazi wa Kitongoji cha Mwamboku Kata ya Kashishi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga,Sele Luchagula, ameuawa na watu wasiojulikana akiwa anakula kwa kukatwa mapanga sehemu mbali mbali za mwili hali iliyopelekea kupoteza maisha papo hapo.Mauaji hayo yametokea Novemba…

Rais Samia Ziarani Mkoani Manyara

Rais Samia akiwa ziarani mkoani Manyara kwa siku ya pili leo ametembelea na kukagua mirandi mbalimbali ya kimaendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo