Latest Posts
SIMBA VS YANGA LEO SAA KUMI KAMILI JIONI
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga utakaochezwa leo Jumapili 29,2018 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, utakuwa mgumu Zaidi ya chuma kutokana na historia ya timu hzio zinapokutana huwa ni vigumu kutabiri. Lakini…
CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWI LA CHATOA MREJESHO WA MRADI WA ONGEZEKO LA WANAWAKE KATIKA SHUGHULI ZA SIASA NA UONGOZI
Isabela Nchimbi Afisa Mradi Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akizungumza katika mkutano wa kutoa Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi uliokuwa na lengo la Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi na Ushiriki wa Wanawake katika Shughuli za Uongozi na…
NSSF YAWAELIMISHA WAAJIRI KUHUSU SHERIA MPYA YA HIFADHI YA JAMII NA WAJIBU WAO ILI KULINDA HAKI ZA WANACHAMA
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji, Bathow Mmuni, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa Semina ya Waajiri kuhusu Sheria Mpya ya Hifadhi ya Jamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na NSSF. Baadhi ya waajiri katika…
Hizi ndizo faida Zilizopatikana Baada ya Ndage kubwa Kutua Tanzania
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari amesema, kufuatia huduma waliyoitoa kwa ndege ya Emirates iliyotua nchini kwa dharura, Tanzania sasa imepanda katika viwango vya kimataifa na kufikia asilimia 64 kutoka asilimia 37 vilivyowekwa na…
Rais achukua hatua hizi dhidi ya waliohujumu fedha za mradi wa maji Dodoma
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuwatafuta na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahusika waliohujumu kiasi cha shilingi bilioni 2 katika mradi wa maji wa Ntomoko ulioko wilayani Kondoa. Rais Magufuli aliyasema hayo jana wilayani Kondoa…