JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RC TELACK AFANYA ZIARA KUKAGUA KILIMO CHA PAMBA NA MTAMA WILAYANI KISHAPU

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack amefanya ziara ya kukagua kilimo cha zao la Pamba na Mtama wilayani Kishapu kwa ajili ya kuendelea kuhamasisha wakulima kulima mazao hayo kwa wingi kwa njia za kitaalamu ambayo yatawafanya wakue kiuchumi na…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 9, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,09, 2018 nimekuekea hapa

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE

Ratiba ya mazishi ya mama yetu mpendwa Peres Kingunge Ngombale Mwiru(Mama Kinje) Jumatano tarehe 10/1/2018- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku…

Jumba la Trump New York Lawaka Moto

Maafisa wa kuzima moto wameitwa katika jumba la Trump Tower katika kisiwa cha Manhattan jijini New York kuzima moto uliokuwa umezuka kwenye ghorofa ya juu ya jengo hilo. Idara ya kuzima moto ya New York imesema moto huo ulidhibitiwa na…

UNAJUA KWANINI LIVERPOOL WALIMUUZA COUTINHO, SOMA HAPA

Meneja wa Timu ya Liverpool, Jurgen Kloop ameeleza kuwa klabu yke ilifanya kila iwezalo ili kuendelea kuwa na mchezaji Phillipe Coutinho, lakini mwisho wa siku mchezaji huo raia wa Brazili alikuwa na tamaa ya kwenda kuichezea Klabu ya Barcelona. Hatimaye…

Hivi Ndivyo Mvua ya Ilivyosababisha Adha kwa Wananchi wa Dar es Salaam

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na sehemu mbalimbali nchini zimeleta adha kwa wakazi wake ambapo mvua hizo zilizoanza kunyesha alfajiri leo zilisababisha foleni nyingi katika maeneo mbalimbali hasa eneo la Jangwani. Mbali ya foleni pia mvua hizo…