Latest Posts
Andres Iniesta Atandika Daluga Barcelona
Andres Iniesta amekamilisha huduma yake ya kuichezea Barcelona katika mechi ambayo Barcelona imewaadhibu Real Sociedad wakati wa mechi za mwisho za La Liga. Iniesta ameagwa kishujaa kwani mashabiki waliunda maandishi ya kumuaga, uwanja ukawashwa taa maalumu kwa ajili yake na…
Njombe Mji FC Kubaki Ligi Kuu ni Kudra za Mwenyezi Mungu tu
Kikosi cha Mtibwa Sugar kimepeleka maumivu mjini Njombe kwa kuifunga Njombe Mji FC bao 1-0 na kuondoa rasmi ndoto za kuendelea kusalia kunako Ligi Kuu Bara msimu ujao. Bao pekee la Mtibwa katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Sabasaba mjini…
Matokeo rasmi ya kura ya maoni kutangazwa leo Burundi
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imesema itatangaza matokeo ya kura ya maoni baadaye hii leo licha ya kiongozi wa upinzani, Agathon Rwasa kusema kuwa hatakubali matokeo hayo. Rwasa ameitaka tume ya uchaguzi kufutilia mbali matokeo na kuitisha kura upya kwa…
Trump ataka kujua kama FBI walichunguza kampeni zake
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anahitaji uchunguzi kufanyika ilikubaini kama shirika la upelelezi la FBI lilijipenyeza kuchunguza kampeni zake kwa maslahi ya kisiasa. Kupitia ukurasa wake wa tweeter,Trump amesema kuwa anahitaji kujua kama mtangulizi wake aliagiza kitu kama…
UVCCM Mkoa wa Dar Watakiwa Kusimamia Misingi ya Chama Chao
Katibu wa Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam amewataka vijana wa Jumuiya ya vijana mkoa wa Dar esSalaam kusimamia Misingi ya Jumuiya hiyo kwani ndiyo nguzo kuu ya chama inayozalisha viongozi mbalimbali wa Chama na serikali….





