Latest Posts
Mameya wa Los Angeles wamtaka Trump kuondowa wanajeshi
Mameya kadhaa wa eneo la Los Angeles wameungana pamoja kuutaka utawala wa Trump kusimamisha uvamizi dhidi ya wahamiaji ambao umeleta wasiwasi na kuchochea maandamano kote nchini Marekani. Mameya hao wakiwa na wajumbe wa mabaraza ya miji walimtaka Trump siku ya…
Wazazi waaswa kutokuwa chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa watoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serengeti Polisi Kata wa Kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti mkoani Mara Sajenti Emmanuel, ametoa wito kwa wazazi kutokuwa chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa watoto wao. Ametoa kauli hiyo wakati akitoa elimu ya Polisi Jamii…
Wananchi Endiamtu wampa tano diwani Chimba kwa utekelezaji Ilani ya CCM kikamilifu
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro WANANCHI wa Kata Endiamtu wilayani Simanjiro mkoani Manyara wamempongeza Diwani wa Kata hiyo Lucas Zacharia Chimba kwa uwajibikaji wake wa utekelezaji wa Ilani ya CCM kikamilifu. Wameyasema hayo jana mara baada ya Diwani Chimba kuelezea…
Mwenyekiti vijana CHADEMA Musoma aliyetimkia CHAUMA nafasi yake yapata mrithi
Na Jovina Massano, JamhuriMedia, Musoma MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Wilaya ya Musoma Mkoani Mara Otaigo Mnanka aliejiunga na Chama Cha Ukombozi wa Umma ( CHAUMA)nafasi yake yapata mrithi. Mrithi huyo amepatikana June 8,2025 mara baada Baraza hilo…
Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi
Na Mwandishi Wetu, Lindi Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi,…
Maduka 17 ya soko la Buseresere Geita yateketea kwa moto
Na Mwanishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Ajali ya moto imeteketeza maduka na vibanda 17 vya biashara katika soko la Buseresere wilayani Chato Mkoa wa Geita hali iliyosababisha uharibifu na hasara kubwa ya mali. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa…