JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

IPTL moto

Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (Ewura) huenda ikaanzisha upya mchakato wa kuongeza ama kutoongeza muda wa leseni kwa miezi 55, baada ya mchakato wa mwanzo baada ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuomba…

Mtetezi wa uhifadhi afungwa Loliondo

Mtetezi wa uhifadhi katika Pori Tengefu la Loliondo, Gabriel ole Killel, amefungwa gerezani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni chuki kutoka kwa viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) ambao amekuwa akiwapinga. Killel ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya KIDUPO, amefungwa…

Wachangia damu hatarini kususa

Wananchi wanaojitolea kuchangia damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, huenda wakakosa morali ya kuendelea kujitolea baada ya kubainika damu wanayochangia inamwagwa kwa kuharibika kutokana na ubovu wa mashine za kupimia sampo kabla…

Rubani wa Precision Air atuzwe (marudio)

Wiki iliyopita makala hii ilichapishwa. Hata hivyo, kimakosa kuna aya mbili zilikatika na kuifanya makala hii kupoteza maana ya kwa nini imeandikwa. Kutokana na wasomaji wengi kunipigia simu kuuliza ilihusu nini, naomba kuirudia makala hii. Pia naomba radhi kwa usumbufu…

Wamiliki vituo vya mafuta walia na TRA

Wakati Serikali ikiendelea na kazi ya kuvifunga vituo vya kuuza mafuta nchini, Chama cha Wamiliki wa Vituo vya Mafuta (TAPSOA) kimebainisha sababu za kutoanza kutumia mashine za kielektroniki za kutolea risiti kwenye pampu (Electrical Fiscal Petrol Printers-EFPPs). Katibu Mkuu wa…

Wasusia shughuli za kisiasa, kisa ukosefu huduma za jamii

Wananchi wa Kata ya Makata katika Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, wamesema hawatashiriki shughuli za kisiasa kwa madai ya kutelekezwa na wanasiasa na Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa kutowapelekea huduma za kijamii kwa muda mrefu, JAMHURI limeambiwa. Wamesema mgomo huo…