Latest Posts
Yah: Mabadiliko yaliyonadiwa kwenye kampeni ndiyo haya?
Nianze kuwapongeza Watanzania wote kuingia katika awamu nyingine ya tano ya uongozi wa nchi hii, tukiwa salama salimini na amani yetu ikiwa ipo pasi na maombi mabaya ya watu wa nje na ndani ya nchi yetu, katika kutuombea tupatwe na…
Tumechezewa, tumechakachuliwa, sasa yatosha
“Mmetuchezea vya kutosha, muda sasa umekwisha. Mmetuchakachua vya kutosha, muda wa kuchakachuana umekwisha. Nataka iwe kazi tu…” Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Rais John Pombe Magufuli, alipokuwa anazindua Bunge la Muungano la Tanzania la 11 Ijumaa, Novemba 20, 2015,…
Tunajaribu kutabiri yasiyotabirika
Baada ya uchaguzi wa Rais John Magufuli, mada iliyotawala mazungumzo maeneo mengi ya Tanzania ilikuwa nani atateuliwa kuwa Waziri Mkuu. Juma lililopita nilikaa kwenye mazungumzo ya aina hiyo na wanakijiji wenzangu na majina mengi yalitajwa. Majina mengi hayakupewa nafasi hata…
Hati ya nyumba yako inapoharibika au kuchakaa
Hati kwa maana ya hapa ni hati za nyumba na viwanja, kwa ufupi ni hati za ardhi. Kwa kuwa hati ni karatasi sawa na karatasi nyingine basi huweza kuharibka au kuchakaa. Huweza kuchakaa kwa sababu mbalimbali za kibinadamu. Inaweza kunyeshewa…
Barua ya kiuchumi kwa Magufuli
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, nakusalimu kwa salamu za heshima. Salamu hizi zinakujia kutoka kwangu mwananchi mwaminifu kwa nchi yangu ambaye nimeamua kukupa mkono wa shirika katika eneo la kuujenga uchumi. Baada ya…
Soka letu na hekima ya Maguri Taifa Stars
Unapozungumza suala la soka hapa nchini kwa wiki hii bila kuitaja timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), bado unakuwa hujaeleza kile kilichotawala vichwa vya wanamichezo. Pamoja kipigo cha Taifa Stars cha mabao 7-0 bado kuna hekima ya kujifunza kutoka…