Latest Posts
Lowassa abadili gia
Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) anayewakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, sasa ameamua kutumia helikopta tano katika kampeni zake. Uamuzi huo unalenga kuimarisha kampeni zake ikiwa ni takribani mwezi mmoja kabla…
SAMIA: Tutachapa kazi kama mchwa
Kama kuna mambo yatakayobaki kwenye historia nchi baada ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, ni kuwapa nafasi wanawake katika vyombo vya uamuzi. Mbali ya kuteua wakuu wengi wa wilaya, mikoa, majaji ni Rais Kikwete aliyeonekana kuwa na kiu akitaka moja…
M4C ya Magufuli, Lowassa na Sauli!
Kipindi hiki ni cha kampeni. Nafuatilia aina ya ujumbe unaotumwa kwenye simu za mikononi, mijadala inayoendelea, sera zinazotamkwa na wagombea kutoka kwenye ilani zao kauli mbiu (slogan) za wagombea katika kampeni, mijadala inayoendelea kwenye vijiwe na mengine mengi. Kama mwandishi…
Heko Jaji Lubuva
Jumamosi ya Agosti 29, mwaka huu Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva aliyezungumzia mambo mbalimbali likiwamo la namna ya kuhesabu kura. Mahojiano hayo yalizaa habari ndefu…
NATO chanzo cha mamilioni ya wakimbizi kutoka Syria
Septemba 2, mwaka huu maiti ya Aylan Kurdi, mtoto wa Kisiria wa miaka mitatu, iliokotwa katika ufukwe wa bahari ya Mediterania. Alizama pamoja na ndugu yake Galip wa miaka mitano na mama yao wakati wakijaribu kuvuka kutoka Uturuki kuelekea Ugiriki….
Mambo yanayoiumiza CCM mwaka huu
Mengi yameandikwa na kusemwa kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 nchini Tanzania, lakini kuna dalili za wazi kuwa huenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikatoka madarakani baada ya kuendesha Serikali kwa zaidi ya miongo mitano, yaani nusu karne. Ilidhaniwa kuwa uzoefu…