Latest Posts
Watanzania tunahitaji kuongeza uelewa wetu wa sheria
Kwa siku chache juma lililopita nimetoa darasa fupi juu ya sheria ya kutunza kumbukumbu za waasisi wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na Sheikh Abeid Amani Karume. Hii sheria inajulikana kwa Kiingereza kama Founders of the Nation (Honouring Procedures) Act…
Serikali yaiokoa TFF
Serikali imeingilia kati kulinusuru Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya ofisi zake kufungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushindwa kulipa kodi ya shilingi bilioni 1 inayodaiwa kwa miaka mingi. Deni hilo lilitokana na TFF kushindwa…
Vita yanukia
Hatari na wasiwasi uliokuwapo mwaka 2014 kwamba dunia ilikuwa na uwezekano wa kuingia katika Vita Kuu ya III ya Dunia, umerejea na wakati wowote dunia inaweza kuingia vitani. Pamoja na kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump, wakati wa kampeni alisema…
Ukweli usemwe kutekwa kwa Roma Mkatoliki
Msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki, aliyetoweka baada ya kudaiwa kukamatwa mapema siku ya Alhamisi katika mji wa Dar es Salaam, amepatikana na amekuwa akihojiwa kwa saa kadhaa baada ya kupatikana. Taarifa zinasema Roma Mkatoliki alirudi kwake…
Utapeli wa ardhi Dodoma
Mjane miaka 84 alizwa, mabaraza ya ardhi yakithiri rushwa Lukuvi aombwa kutatua mgogoro Mkazi wa Kijiji cha Handali, Wilaya ya Dodoma Vijijini, Hilda Mzunde (84), amemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kuupatia ufumbuzi mgogoro wa…
Serikali idhibiti magenge ya utekaji
Wiki iliyopita habari kubwa kwenye vyombo ya habari ilikuwa ni kutoweka/kutekwa kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ ambaye hata hivyo alipatikana siku ya Jumamosi. Wakati Roma akiwa kusikojulikana na kuzua sintofahamu miongoni mwa wanafamilia yake,…