Latest Posts
Samatta aibua wanamichezo
Ushindi wa Mtanzania Mbwana Samatta umewafungua vinywa Watanzania na kutaka kiwekwe kwenye Katiba, kifungu kitakachotambua na kuwaenzi wanamichezo watakaoiletea sifa nchi katika kipindi chao chote cha maisha kama wanavyofanyiwa viongozi wa nchi. Wametaka kifungu hicho kiwatambue wanamichezo hao kwa kuwapatia…
Bandari balaa
Uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ambao umeshikwa na baadhi ya viongozi walioshiriki kwenye upotevu wa maelfu ya makontena, unafanya kila mbinu kujinasua kwenye kashfa hiyo. Juhudi hizo za kujinasua zinatokana na Gazeti la JAMHURI kuwataja kwa majina na…
UDA kumtumbua Iddi Simba
Serikali imeanza taratibu za kufufua kesi ya ufisadi wa uuzwaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambalo ni mali ya umma. Vyanzo vya habari vya uhakika vimelithibitishia JAMHURI kuwa Serikali ya Awamu ya Tano tayari imeshaanza kufuatilia Shirika…
Polisi, Magereza wadaiwa sugu Moshi
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imezitangaza rasmi taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro kuwa ni wadaiwa sugu. Taasisi hizo ni Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Kilimanjaro, Chuo cha Taaluma ya Polisi (MPA),…
RC, wana mazingira watifuana K’njaro
Wanaharakati wa mazingira mkoani Kilimanjaro wamemtaka Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla (pichani), kufuta maagizo yake ya kuzitaka halmashauri za wilaya kuvuna magogo katika misitu ya asili kwa ajili ya kutengeneza madawati. Makalla akiwa wilayani Same hivi karibuni, alitoa maagizo…
JPM avalia njuga rushwa kortini
Rais Dk. John Magufuli ametikiswa na ripoti ya rushwa katika mahakama za Tanzania. Ameanza kulivalia njuga suala hilo kwa kasi ya ajabu. Mbali ya madai ya kubambika kesi kunakofanywa na Jeshi la Polisi, taarifa mpya zilizotua mezani kwa Rais Dk….