Latest Posts
Yah: Litakuwa Taifa la watoto, wazee
Nianze kwa kuwapongeza kutimiza miaka makumi kadhaa ya Muungano, yaani Muungano ambao leo mnadai kuwa una kero ambazo sisi wakati tukiungana tuliona siyo kero za Muungano bali ni chachu za Muungano, na ndizo zinazofanya utamu wa Muungano kuwapo. Sina hakika,…
Kipande abanwa Bandari
Nyalandu aweweseka siri kuvuja
*Aanza kuwasaka wabaya wake, awatisha Aprili 22, mwaka huu, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na baadhi ya watendaji waandamizi wa Wizara hiyo mjini Dodoma, alitoa vitisho akiahidi kuwashughulikia wote aliodai kuwa wanavujisha siri za ofisi kwa watu…
Kipande abanwa Bandari
Yah: Tusichezee lugha yetu, wengine wanajuta
Wakati tunatawaliwa, wakoloni wote kwa awamu zao yaani Wajerumani, Waingereza na hata Wareno na Waarabu, wakati wakipita kwa biashara zao sisi Wazaramo na Wandengereko tulikuwa tunawasiliana kwa shida sana. Kuna wakati tulikuwa tunatumia lugha ya alama kuwasiliana. Baada ya kuanza…
Fedha zako ni kipimo cha imani yako
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wetu. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mchakato wa Katiba mpya, lakini ninasikitishwa na namna mwenendo wa Bunge hilo ulivyo.
Wiki iliyopita tumeshuhudia mgogoro wa kimakundi uliosababisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao vya Bunge Maalum la Katiba.
Binafsi ninaamini kuwa pande zote zitakaa chini na kufikia mwafaka ili Taifa letu lipate Katiba mpya.
Sasa tuendelee na uchambuzi wa leo unaohusu uhusiano wa imani zetu na umilikaji fedha.
- Waziri Mkuu apokea tuzo ya ufugaji nyuki nchini
- 148 mbaroni kwa ubakaji, ulawiti Arusha
- Rais Dk Samia akimkaribisha Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah
- Kamati mpya ya ukaguzi Wizara ya Nishati yafanya ziara katika miradi ya umeme mkoani Pwani
- Polisi Dodoma yawaomba wananchi kutoa taarifa za wahalifu
Habari mpya
- Waziri Mkuu apokea tuzo ya ufugaji nyuki nchini
- 148 mbaroni kwa ubakaji, ulawiti Arusha
- Rais Dk Samia akimkaribisha Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah
- Kamati mpya ya ukaguzi Wizara ya Nishati yafanya ziara katika miradi ya umeme mkoani Pwani
- Polisi Dodoma yawaomba wananchi kutoa taarifa za wahalifu
- Askofu Dk Dickson Chilongani asimikwa kuwa Mkuu wa pili wa Chuo Kikuu cha St John Tanzania
- Wananchi zaidi ya milioni 9 wanufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
- Bunge lapitisha Tril 3.645/- ya Wizara ya Ulinzi na JKT
- Rais wa Namibia Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah kuwasili Tanzania leo
- Serikali yatekeleza mradi wa kukabili mabadiliko ya tabianchi Zanzibar
- Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden
- Serikali kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya
- Bwawa la Nyumba ya Mungu lafurika, wakazi waomba msaada wa boti
- Trump :Urusi, Ukraine kuanza mazungumzo ya kusitisha mapigano
- Majaliwa :Kamilisheni uchunguzi wizi vifaa vya hospitali
Copyright 2024