JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Maagizo 14 ya Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Josephat Kandege kwa Tawala za Mikoa

Naibu Waziri wa Tamisemi Mh. Josephat Sinkamba Kandege ametoa maagizo 14 kwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote Tanzania bara ili kuboresha upatikanaji bora wa huduma za kijamii katika maeneo yao na kuondoa changamoto zilizopo. Ametoa maagizo…

Kamati ya UN Kutetea Haki za Wapalestina Yazungumza na Waziri Dk. Mwakyembe

  KAMATI maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoundwa kutetea haki za msingi za raia wa Wapalestina imekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kwa mazungumzo maalum walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Mtatiro: Sina Sifa ya Kuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni

Julius Mtatiro anasema amepokea meseji nyingi sana zikimuomba agombee ubunge jimbo la Kinondoni baada ya Mbunge wa (CUF – Lipumba), Ndugu Maulid Mtulia kuhamia CCM. Ammesema kwamba msimamo wake kuwa hana ndoto za kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni. Masuala…

Leo Disemba 7, 2017 Nimekusongezea Magazeti

Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani basi Husipitwe na kilichotokea kwenye magazeti ya leo Alhamisi Disemba, 7, 2017 nimekuwekea hapa.

Marekani Yamnyoshea Kidole Odinga Mpango Wake wa Kutaka Kuapishwa

Marekani imemtaka kiongozi wa upinzani nchini kenya Raila Odinga kuacha mpango wake wa kuapishwa kama raisi wan nchi hiyo wiki ijayo. Odinga aliwasilisha Malalamiko juu ya mapungufu katika uchaguzi mkuu uliopita na kusababisha uchaguzi wa marudio ambapo Uhuru Kenyata alishinda…