Latest Posts
Mwaka mmoja wa Magufuli madarakani Tusimsifu wala tusimhukumu
Naujadili utawala wa Rais Magufuli kutimiza mwaka mmoja. Kwa kuchagua kwa makusudi maneno mawili – tusimsifu wala tusimhukumu – wengine wanaweza kushangaa! Lakini ngoja nikumbushie kisa cha mtaalamu kutoka Japan aliyepelekwa Kigoma. Huyo mtaalamu kila alipoona eneo jipya alilopelekwa Kasulu,…
Polisi ‘mwizi wa magari’ afukuzwa kazi
Jeshi la Polisi limemfukuza kazi askari wake, PC Hamad Mud wa Kituo cha Polisi Sanya Juu, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, akitajwa kuwa kinara wa mtandao wa wizi wa magari. Kwa uamuzi huo, Mud anasakwa ndani na nje ya nchi…
Sheria imepita, upotoshaji umetawala
Wiki iliyopita hatimaye Serikali imehitimisha safari ya miaka 23 ya mchakato wa kutunga Sheria ya Huduma za Habari (MSB). Sheria hii inajihuisha zaidi na utendaji wa vyombo vya habari na wanahabari. Mchakato huu ulianza rasmi mwaka 1993 na umehitimishwa mwaka…
Tathmini ya mwaka mmoja wa Rais Magufuli
Ni vizuri watu wakutathmini kuliko kujitathmini mwenyewe, lakini ninaloweza kusema ni kwamba kesho ndiyo natimiza mwaka mmoja tangu niwe Rais. Ninamshukuru Mungu kwamba tumeutimiza huo mwaka, lakini pia nawashukuru Watanzania kwa sababu ndani ya ushirikiano wao wa pamoja nchi yetu…
Ndugu Rais umesema tukuamini tumekusikia, tunakuamini
Ndugu Rais ulipoongea na wahariri wa vyombo vya habari ulisema mengi na mengi mengine uliyafafanua vizuri. Nia yako njema kwa nchi hii ilionekana dhahiri. Ukasema tukuamini! Tumekusikia, tumekuamini! Umefanya vema kuwajibu watu wako wema wanaouliza kila siku kutaka kujua kama…
Uchaguzi Marekani hautabiriki
Huku siku za kampeni nchini Marekani zikiwa zimekwisha, ushindani mkali unaonekana kati ya Hillary Clinton wa Democratic na Donald Trump wa Republican, hali inayoashiria ugumu katika uchaguzi huo. Wagombea hao – Hillary Clinton na Donald Trump – wamefanya mikutano sambamba…