Latest Posts
Naogopa, ushabiki wa kisiasa ni hatari
Watanzania hivi sasa wamo katika mawazo na mazungumzo ya ajenda moja tu ya Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika hivi Oktoba 25, 2015 wa kuwachagua viongozi bora ambao ni madiwani, wabunge na rais wa nchi. Mazungumzo hayo yanaendeshwa mchana na usiku katika sehemu…
PPF yajipanga kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi
Wanawake zaidi ya 720 wanafariki dunia kila mwezi nchini, kutokana na matatizo ya uzazi, na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongoza kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuwa na idadi kubwa ya vifo hivyo. Takwimu za Wizara ya Afya na Ustawi…
Nguvu ya wataalamu katika biashara
Nianze kwa kuwashukuru makumi ya wasomaji ambao wameendelea kununua nakala ya kitabu changu kipya kiitwacho, ‘Mfanikio ni haki yako’. Kitabu hiki kinauzwa kwa njia ya mtandao, ambako ukishalipia fedha unatumiwa kwa njia ya barua pepe. Kitabu hiki kinauzwa Sh. 5,000…
Pigo jipya CCM
Hatari ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kupoteza wanachama wazito katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu inazidi kukinyemelea chama hicho, uchunguzi wa gazeti la JAMHURI umebaini. Habari kutoka ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), zinaonyesha kuna wimbi kubwa…
Wampinga JK kwa Magufuli
Rais Jakaya Kikwete ameibua hisia za baadhi ya akina mama wanaopinga hoja yake inayosema kwamba mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ni “Chaguo la Mungu”. Akinamama hao waliokuwa wakishiriki kongamano…
Kampeni zimeanza, tusimuige Mkapa
Mwishoni mwa wiki nimeshuhudia jambo kubwa. Jambo lenyewe ni Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kujiengua kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Amejiunga UKAWA kupitia NCCR-Mageuzi. Sumaye wakati anahama amerejea aliyosema Profesa Mark…