Latest Posts
Salaam za Kagasheki kwa majangili
*Angependa wakikutwa maporini ‘wamalizwe’ huko huko
*Maelfu ya wananchi wakubali adhabu ya kifo kwa wahusika
*Muswada kuipa makali sheria kuwasilishwa Bunge lijalo
Muda ni saa 2 na dakika kadhaa asubuhi. Mbele ya Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuna mamia ya watu wa rika, rangi na jinsi zote. Wana mabango yenye ujumbe maalumu.
Dola ikomeshe vibaka kwenye daladala
Tatizo la vibaka limeendelea kuota mizizi katika daladala za abiria, hasa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya watu wanaotumia usafiri huo wa umma wamekuwa wakiibiwa fedha na simu za kiganjani kila kukicha!
Mungu awe nayi wana JAMHURI
Chonde chonje wavuta sigara
Mhariri,
Ninajitokeza kutumia fursa hii kutoa wito kwa watu wote wanaovuta sigara kuacha kasumba mbaya ya kuvuta sigara katika msongamano wa watu, kwa sababu vitendo hivyo vina athari kubwa zaidi za kiafya kwa wasiotumia bidhaa hiyo.
Vijana na makundi matatu ya uongozi
Mwaka 1974 hadi 1978 nilikuwa Katibu Mkuu wa kwanza miongoni mwa waasisi wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Kinondoni (KIFA), Dar es Salaam. Mwaka 1976 Katibu wa wanachuo, Chuo cha TANU Kivukoni, na Katibu wa TANU (Radio Tanzania Dar es Salaam-RTD) kazini.
- Waziri Mhagama, Profesa Janabi mgombea wa ukurugenzi WHO Kanda ya Afrika wakiwasili kushiriki uchaguzi
- Miradi ya maji inaendelea kujengwa nchini kote – Majaliwa
- Mtoto mchanga aliyeibiwa April 29 apatikana akiwa hai, atupwa pembeni mwa nyumba yao
- Umoja wa Mataifa watoa wito wa usitishwaji vita Gaza
- Waziri Mkuu aridhishwa na maboresho yanayoendelea kwa Mkapa
Habari mpya
- Waziri Mhagama, Profesa Janabi mgombea wa ukurugenzi WHO Kanda ya Afrika wakiwasili kushiriki uchaguzi
- Miradi ya maji inaendelea kujengwa nchini kote – Majaliwa
- Mtoto mchanga aliyeibiwa April 29 apatikana akiwa hai, atupwa pembeni mwa nyumba yao
- Umoja wa Mataifa watoa wito wa usitishwaji vita Gaza
- Waziri Mkuu aridhishwa na maboresho yanayoendelea kwa Mkapa
- Polisi yakamata watu wanne kwa wizi wa vifaa vya mradi miji 28
- JKCI kuwa kituo cha Umahiri cha matibabu ya moyo kwa watoto Afrika Mashariki na Kati
- Rais Samia atoa wito kwa Watanzania kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
- Rais Mwinyi awaaga Mahujaji watarajiwa Zanzibar
- Majaliwa : Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi
- Uzalendo wa Kweli: Rais Samia ashiriki kujiandikisha, atoa wito wa litaifa
- Ajenda tatu kubeba mkutano maalum CCM
- Awamu ya pili ya uboreshaji daftari la wapiga kura yaendelea kwa mafanikio – Mwambegele
- CRDB yaadhimisha miaka 30 kwa kujenga shule ya sekondari ya mfano, Dkt. Mpango azindua
- Mathias Canal achangia vifaa vya michezo shule mbili za msingi Iramba, ampa heko Mwigulu