Latest Posts
IRENE DAVID: Binti aliyejiajiri kuuza matunda Dar
IRENE DAVID:
Binti aliyejiajiri kuuza matunda Dar
. Alikataa kutoa rushwa ya ngono aajiriwe
. Awaasa mabinti, wanawake wanaojiuza
Ni binti mrefu wa wastani, mwenye rangi ya maji ya kunde na umri wa miaka 23. Ni mhitimu wa kidato cha nne na fani ya kompyuta ngazi ya cheti, aliyejiajiri kuuza matunda. Binti huyu si mwingine yeyote bali ni Irene David, mkazi wa Mbagala, jijini Dar es Salaam. Ana kawaida ya kutabasamu anapozungumza na mtu.
Hatuiaibishi Mahakama bali tunaijengea uwezo
Wiki iliyopita Jaji Kiongozi, Fakihi Jundu, ametoa taarifa ndefu kwa vyombo vya habari akilishambulia Gazeti la JAMHURI. Mashambulizi ya Jaji Kiongozi yalijielekeza katika msingi kwamba JAMHURI imekuwa ikifuatilia kazi za Mahakama, tena si kwa uzuri bali kwa kutafuta mabaya yanayofanywa ndani ya Idara hiyo.
MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE
‘Kutegemea kubaya kupita kote ni kutegemea mtu mwingine kwa mawazo
Katika sehemu iliyopita, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema hata angekuwa anafuata sera za kibepari, angejenga viwanda. Anasema mabepari ndiyo walioanza kujenga viwanda, na viwanda vyenyewe havikuwa na sera. Ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya Mwalimu aliyoitoa katika kilele cha Sherehe za Mei Mosi, mwaka 1995 mkoani Mbeya.Juzi
Rais Kagame si wa kumwamini sana
Makala iliyopita ya “JWTZ nginjangija Goma hadi Kigali’, imenifumbua macho. Nimepata simu nyingi na ujumbe wa maandishi usio idadi. Wapo waliotumia lugha kali, lakini wengi walikuwa waungwana. Hiyo ndiyo raha ya mijadala. Kuna wakati tunaweza kukubaliana kwenye baadhi ya mambo, na wakati mwingine tusikubaliane kwa hoja fulani fulani. Muhimu ni kujenga moyo wa uvumilivu na staha.
Sote tukiwa waoga nchi itayumba
Ni kosa kubwa kwa mtoto wa Kizanaki kumtamkia mtu aliyemzidi umri neno ‘mwongo’. Hawa ni tofauti na makabila mengine, mathalani Wajita. Wao mtoto ana uhuru na haki ya kumtamkia mzazi au mtu aliyemzidi umri neno ‘mwongo’. Wakati Mzanaki atapambana kumnasa vibao mtoto anayeamini kamtukana, mzazi wa Kijita atafanya juhudi za kupambana kwa hoja kumthibitishia mtoto yule kwamba yeye (mkubwa) si mwongo. Hizo ni tofauti za wazi kwa makabila hayo mawili.
Messi alipa faini ya kukwepa kodi
Nyota wa timu ya soka ya Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi pamoja na baba yake mzazi wamelipa euro milioni tano, sawa na dola milioni 6.6 za Marekani, baada ya kubainika na kosa la kukwepa kodi. Messi na mzazi wake huyo walidaiwa kukwepa kulipa kodi hiyo ya serikali kwa njia za ujanjaujanja.
- Rais Mwinyi awaaga Mahujaji watarajiwa Zanzibar
- Majaliwa : Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi
- Uzalendo wa Kweli: Rais Samia ashiriki kujiandikisha, atoa wito wa litaifa
- Ajenda tatu kubeba mkutano maalum CCM
- Awamu ya pili ya uboreshaji daftari la wapiga kura yaendelea kwa mafanikio – Mwambegele
Habari mpya
- Rais Mwinyi awaaga Mahujaji watarajiwa Zanzibar
- Majaliwa : Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi
- Uzalendo wa Kweli: Rais Samia ashiriki kujiandikisha, atoa wito wa litaifa
- Ajenda tatu kubeba mkutano maalum CCM
- Awamu ya pili ya uboreshaji daftari la wapiga kura yaendelea kwa mafanikio – Mwambegele
- CRDB yaadhimisha miaka 30 kwa kujenga shule ya sekondari ya mfano, Dkt. Mpango azindua
- Mathias Canal achangia vifaa vya michezo shule mbili za msingi Iramba, ampa heko Mwigulu
- Mhandisi Samamba ahimiza uaminifu kwa watoa huduma migodini
- Makalla afurahia utabiri wa Lissu kutimia
- Rais Dk Samia akiagana na Rais wa Jamhuri ya Finland
- Viongozi zaidi ya 200 wahitimu mafunzo ya uongozi
- Silaa aridhishwa na utekelezaji mradi wa Kituo cha Kitaifa cha Kuhifadhi Data Kimtandao
- CHADEMA kunazidi kufukuta, mwenyekiti Dodoma ang’atuka
- Mfalme Zumaridi mikononi mwa Polisi tena kwa tuhuma kuendesha ibada kinyume na sheria
- Msiwafiche watoto wenye utindio wa Ubongo: Doreen