JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hawa Hapa Washindi wa Tuzo za Grammy 2018

Rihanna na Kendrick Lamar kwenye Red Carpet ya Grammy Awards 2018. Hapa nimekuwekea orodha ya wasanii wote walioibuka washindi katika vipengele mbalimbali vya Tuzo za Muziki za Kimataifa za Grammy usiku wa kuamkia leo. • Bruno Mars ndiye alikuwa kinara kwa…

Rais Shein Ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar…

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania nchi Ubelgiji Mh:Edward Joseph Sokoine katikati akiwa na baadhi ya watanzania waliofika jana kwenye kikao cha kusikiliza na kutafutia ufumbuzi kero za watanzania wanaishi mbali na Tanzania. {Picha zote na Maganga One Blog}  Kiongozi wa Watanzani kitongoji…

JAJI MKUU AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA IMANI YA MAHAKAMA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akijiandaa kuanza Matembezi ya uzinduzi wa wiki ya Sheria leo jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto ni Waziri…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 29, 2018

 Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatau Januari,29, 2018 nimekuekea hapa

Magufuli Ahudhuria Msiba wa Jaji Kisanga Oyster Bay

Rais John Magufuli akisaini kitabu wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Jaji Robert Kisanga leo jijini Dar es Salaam. …Akiongea katika msiba huo katika kuwapa pole wafiwa.  Kulia ni Mama Janeth Magufuli, mke wa rais. …Akiwa na viongozi mbalimbali waliofika katika…