Latest Posts
Mwendokasi mwarobaini chupa za plastiki
Shirika la Misaada la Uingereza (UKAID) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wamezindua kampeni ya matangazo ya mwezi mmoja kuhamasisha jamii mbinu za kukabili mafuriko. Kampeni hiyo itakayohusisha mradi wa mabasi yaendayo haraka (UDART), imezinduliwa katika kituo cha mabasi yaendayo…
Wa-Bahá’í washerehekea miaka 200 ya kuzaliwa Bab
Wa-Bahá’í ulimwenguni kote wanasherehekea miaka 200 ya kuzaliwa kwa Bab – Mtume Mtangulizi wa dini ya Bahá’í. Taarifa ya Baraza la Kiroho la Mahali la Bahá’í imesema sherehe za kilele zitakuwa Oktoba 29, mwaka huu. ‘Bab’, wadhifa ambao maana yake…
Tujitathmini aliyotuachia Nyerere
Wiki hii Tanzania inamkumbuka mwasisi wake, Mwalimu Julius Nyerere. Tukio hili ni la kila mwaka lakini mwaka huu linafanyika ikiwa imepita miaka 20 tangu kufariki dunia kwa kiongozi huyo ambaye ndiye aliyeweka misingi ya jinsi ya kutawala na kuongoza nchi…
NINA NDOTO (39)
Mteja ni mfalme Wiki ya pili ya Oktoba huwa tunaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Yawezekana huwa unapokea ujumbe wa kukutakia heri katika wiki hiyo kutoka kwa kampuni mojawapo kubwa ambayo huwa unatumia huduma zake. Nilipokea ujumbe kutoka Vodacom uliosomeka,…
Sekondari ya Nainokanoka: Matunda ya NCAA
Jamii ya wafugaji wa Kimasai ni miongoni mwa jamii zilizo nyuma katika mambo mengi ya kimaendeleo, hasa elimu. Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa kulitambua hilo, imeamua kuwekeza kwa nguvu kubwa kwenye elimu. Kutokana na jiografia ya…
Nyerere niruhusu nimpongeze Magufuli
Wiki hii Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametimiza miaka 20 baada ya kifo chake. Hatunaye Mwalimu Nyerere kwa miaka 20 sasa. Na kwa kweli nikuombe radhi msomaji wangu kuwa leo kwa upekee na kwa hili tukio la miaka 20 ya kifo…



