JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Kitimutimu cha Magufuli na mawaziri wake wa awamu ya tano

Niliposikia malalamiko ya watu kuwa Mheshimiwa Magufuli anachelewa kutaja baraza la mawaziri nilikuwa najiuliza kwani mawaziri ni lazima akurupuke kuwachagua ili serikali iwepo au hao wanaoitwa makatibu wakuu kazi zao ni zipi kama siyo kusimamia wizara zao kiutendaji, na ukweli…

Prof. Ndalichako tumbua jipu NECTA

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku katika harakati ya kuijenga nchi yetu. Binafsi  ni buheri wa afya nikijitahidi kuendana na falsafa ya ‘hapa kazi tu’ kukwepa jipu litakalochangia kutumbuliwa. Nikiwa mdogo,…

Samatta aibua wanamichezo

Ushindi wa Mtanzania Mbwana Samatta umewafungua vinywa Watanzania na kutaka kiwekwe kwenye Katiba, kifungu kitakachotambua na kuwaenzi wanamichezo watakaoiletea sifa nchi katika kipindi chao chote cha maisha kama wanavyofanyiwa viongozi wa nchi. Wametaka kifungu hicho kiwatambue wanamichezo hao kwa kuwapatia…

Bandari balaa

Uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ambao umeshikwa na baadhi ya viongozi walioshiriki kwenye upotevu wa maelfu ya makontena, unafanya kila mbinu kujinasua kwenye kashfa hiyo. Juhudi hizo za kujinasua zinatokana na Gazeti la JAMHURI kuwataja kwa majina na…

UDA kumtumbua Iddi Simba

Serikali imeanza taratibu za kufufua kesi ya ufisadi wa uuzwaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambalo ni mali ya umma. Vyanzo vya habari vya uhakika vimelithibitishia JAMHURI kuwa Serikali ya Awamu ya Tano tayari imeshaanza kufuatilia Shirika…

Polisi, Magereza wadaiwa sugu Moshi

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imezitangaza rasmi taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro kuwa ni wadaiwa sugu. Taasisi hizo ni Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Kilimanjaro, Chuo cha Taaluma ya Polisi (MPA),…