Latest Posts
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 31
Ardhi ni kichomi ARDHI 601. Tanzania ina eneo la Kilomita za mraba 942,000. Kati ya hizo kilomita za mraba 888,578 ni eneo la ardhi. Idadi ya watu kwa kilomita ni ndogo isipokuwa kwa maeneo machache kama Wilaya za Ukerewe, Rungwe,…
Loliondo yawagonganisha Gambo, Nasha
Ukweli na uongo havikai pamoja kama ilivyo nuru na giza. Tumeyasema na kuyaandika mengi kuhusu Pori Tengefu Loliondo. Bahati nzuri wasomaji hawajachoka kuyasoma; na tunaendelea kuwaomba msichoke. Mapambano ya kulinda uhai wa Loliondo yanachochewa na ukweli kuwa bila kuwapo kwa…
Hotuba ya Rais Magufuli Mkoani Simiyu (2)
Ombi langu la tatu, ni kwa watumiaji wote tujiepushe na matumizi mabaya ya kwenye barabara ikiwa ni pamoja na kumwaga oil, kuchimba michanga kwenye madaraja, kung’oa alama za barabarani, hasa sisi ndugu zangu Wasukuma na mimi ni Msukuma, zile alama…
Ndugu Rais turudishie umoja wetu Baba aliotuachia!
Ndugu Rais wananchi wa nyakati hizi wamechoshwa na makelele ya wanasiasa. Wanasiasa kwao wamekuwa ni laghai. Kinachofanyika katika nchi hivi sasa siyo siasa, ni chuki, ufitina na kukomoana! Walio na madaraka na wanaotafuta madaraka wamepumbazwa na uroho wa madaraka. Mwananchi…
Mchungaji abaka, alawiti, atoroshwa
Mtendaji wa Kijiji cha Luchili, Kata ya Nyanzenda, Halmashauri ya Buchosa Sengerema, mkoani Mwanza anatuhumiwa kumtorosha Mchungaji wa Kanisa la Agape, lililopo katika kijiji hicho, Geofrey Kamuhanda, anayetuhumiwa kumbaka na kumlawiti binti wa miaka 13. Vyanzo vya habari vimeiambia JAMHURI…
Bila wanyamapori hizi ndege si kitu
Dhamira ya Rais John Magufuli, katika kuijenga Tanzania mpya, inaonekana. Anatambua nafasi ya utalii katika uchumi wa nchi yetu. “Ukitaka kujenga nchi yenye uchumi wa kisasa, huwezi kujenga bila kuwa na ndege na ukitaka watalii lazima uwe na ndege. Tunataka…