Latest Posts
RIPOTI MAALUMU
Majaji ‘vihiyo’ watajwa
*Yumo aliyeshindwa kuandika hukumu miaka minne
*Wengine wagonjwa, hawajawahi kusikiliza kesi
*Yumo Jaji wa Mahakama ya Rufaa asiye na shahada
*Baada ya kubanwa sasa anasoma Chuo Kikuu Huria
*Wengine walikuwa mahakimu watuhumiwa wa rushwa
Kagasheki akimweza huyu, ataweza kila kitu
Hivi karibuni, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), aliubua bungeni mkataba ulioingiwa baina ya kampuni za Uranium Resources PLC, Western Metals Limited na Game Frontiers of Tanzania Limited, mkataba ambao umetengenezwa na kampuni ya Kitanzania ya Rex Attorneys na kusainiwa Machi 23, 2007.
Wabunge waunga mkono msimamo wa Morocco
Bunge la Tanzania linaunga mkono msimamo wa Morocco katika kupata ufumbuzi wa mgogoro kati ya taifa hilo na taifa la Sahara Magharibi. Mwaka 1975 uliibuka mgogoro wa ndani kati ya Morocco na taifa la Sahara Magharibi linalotaka kujitangazia Uhuru. Mgogoro huu uliofanya Sahara Magharibi kujenga ukuta kama wa Berlin kule Ujerumani, umekuwa na madhara makubwa ndani ya taifa la Morocco.
Malawi waigwaya kipigo JWTZ
* Taarifa za kiintelejensi za Jeshi letu zawaogopesha
* Ndege za utafiti zaondolewa upande wa Tanzania
* Makamanda wasisitiza kuendelea kuulinda mpaka
* Waingereza walipotosha mpaka
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linaendelea kuimarisha ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Malawi, licha ya taifa hilo dogo lililopo kusini mwa Afrika kuonyesha nia ya kutotaka kuingia katika vita, lakini pia gazeti la JAMHURI limebaini chimbuko la historia ya upotoshaji katika mpaka wa nchi hizi.
Mjue Kada wa CCM Mohsin Abdallah
*Tume ya Jaji Warioba ilianika madudu yake
*Ni bilionea anayehodhi vitalu vya uwindaji
Hivi karibuni, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) aliuibua bungeni mkataba ulioingiwa baina ya kampuni za Uranium Resources PLC, Western Metals Limited na Game Frontiers of Tanzania Limited uliotengenezwa na Kampuni ya Kitanzania ya Rex Attorneys, na kusainiwa Machi 23, 2007.
Chonde chonde Malawi, ninyi ni ndugu zetu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza msimamo wa Tanzania kuhusu mgogoro wa mpaka kati ya Taifa letu na Malawi. Kwa mara nyingine, Serikali kupitia kwa Membe imeitaka Malawi, kampuni na makundi mengine, kuacha mara moja kuendelea na shughuli za utafiti wa mafuta na gesi katika Ziwa Nyasa. Kama alivyosema, Malawi wanadai kwamba mpaka wa haki kati ya Tanzania na Malawi ni pwani ya ziwa hilo kwa upande wa Tanzania.
- Dk Biteko awataka maafisa maendeleo jamii wasikubali kuachwa nyuma
- Shule 216 za Serikali zatumia nishati safi ya kupikia – Kapinga
- Serikali yakabidhi hati mbili za mashamba ya umwagiliaji
- CHAKAMWATA wampongeza Rais Samia kupandisha mishahara kwa watumishi
- TEMESA Arusha yatekeleza maagizo ya Serikali kwa mafanikio kupitia mfumo wa MUM
Habari mpya
- Dk Biteko awataka maafisa maendeleo jamii wasikubali kuachwa nyuma
- Shule 216 za Serikali zatumia nishati safi ya kupikia – Kapinga
- Serikali yakabidhi hati mbili za mashamba ya umwagiliaji
- CHAKAMWATA wampongeza Rais Samia kupandisha mishahara kwa watumishi
- TEMESA Arusha yatekeleza maagizo ya Serikali kwa mafanikio kupitia mfumo wa MUM
- REA yakamilisha kufikisha umeme vijiji vyote 523 Mkoa wa Lindi
- Breaking News; Cleopa Msuya afariki dunia, Rais Samia atangaza siku saba za maombolezo
- Wataalam Afrika Mashariki wajadili Nishati Safi ya kupikia jijini Arusha
- RUWASA yapeleka neema ya maji Mloka, Mbunju Mvuleni, Ndundutawa Rufiji
- Kundi la G55 CHADEMA latangaza kung’oka , wadai kutengwa
- CRDB yawahakikishia wawekezaji ukuaji endelevu wa uwekezaji wao
- Makadinali 133 wajumuika Vatican kumchagua mrithi wa Papa
- Tanzania, Zambia zakutana kujadili mpango kazi uimarishaji mpaka wa kimataifa
- Mama Ulega akabidhi gari, vifaa vya ujasiriamali kwa UWT Pwani
- Tanzania na mageuzi makubwa ya sekta ya ardhi