Latest Posts
JWTZ: Hizi ni rasharasha
*Wasubiri wenzao A. Kusini, Malawi zianze za masika
*Kamanda: Matumaini ya Wakongo ni makubwa mno
*Waziri wa Ulinzi asema hali za vijana nzuri Brigedi ya Jeshi la Umoja wa Mataifa (UN) la Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) inayoongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ipo salama na inajiandaa usiku na mchana kuhakikisha amani inarejeshwa katika eneo hilo. Habari za uhakika zinaeleza kwamba operesheni rasmi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu baada ya vikosi kutoka Afrika Kusini na Malawi, kuungana na wenzao wa JWTZ ambao tayari wapo eneo hilo.
Wauza ‘unga’ waanza kutajwa
Wakati Watanzania wengi wakiwa wameamua kuwaanika hadharani nguli wa biashara ya dawa za kulevya, Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo, naye amepasua ukweli wa mambo akisema hali inatisha.
Watu 10,262 wakacha ARVs
Watu 10,262 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi mkoani Mwanza, hawajulikani waliko kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya kutohudhuria kliniki ya kutoa dawa hizo.
Jeshi la ‘bodaboda’ latembeza mkong’oto wilayani Geita
Jeshi lisilo rasmi la vijana zaidi ya 60 wanaofanya kazi ya kubeba abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), huku wakiimba kibwagizo cha ‘wapigwe tu’, wameteka mtaa na kutembeza kipigo kikali kwa abiria wao mmoja.
MAUAJI YA BARLOW
Malele aendelea kuteseka Muhimbili
Maendeleo ya matibabu ya Mohamed Malele aliyetangaza siri za mtandao unaodaiwa kuhusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ni kitendawili.
Tutelekeze wabunge, tuwawezeshe polisi
Wiki hii nimewaza na kuwazua. Kwa furaha nimepokea mrejesho kutoka kwenu wasomaji wangu. Hakika nimefurahi jinsi mlivyolikubali gazeti JAMHURI, na jinsi mawazo tunayoyatoa mnavyoyaunga mkono. Nasema asanteni sana na mkihisi tumekosea, msisite kutusahihisha.
- Jenister Mhagama atajwa kuwa kinara kuwezesha mafanikio ya utalii tiba nchini
- Samia aleta mapinduzi Tabora, miradi ya Trilioni 15 yaimarisha afya, elimu na miundombinu
- Juhudi za kuvimaliza vita vya Ukraine zaendelea
- Maafisa maendeleo ya Jamii furukuteni kutoa elimu ya ununuzi wa umma wa asilimia 30 – Mdemu
- NMB, DSE wazindua manunuzi, mauzo ya hisa kidijitali mkononi
Habari mpya
- Jenister Mhagama atajwa kuwa kinara kuwezesha mafanikio ya utalii tiba nchini
- Samia aleta mapinduzi Tabora, miradi ya Trilioni 15 yaimarisha afya, elimu na miundombinu
- Juhudi za kuvimaliza vita vya Ukraine zaendelea
- Maafisa maendeleo ya Jamii furukuteni kutoa elimu ya ununuzi wa umma wa asilimia 30 – Mdemu
- NMB, DSE wazindua manunuzi, mauzo ya hisa kidijitali mkononi
- Waziri Mambo ya Nje wa Cyprus akamilisha ziara yake nchini
- Polisi watoa ufafanuzi madai ya ACT – Wazalendo
- Waziri Aweso: Tuna uhakika wa maji ya kutosha Dar na Pwani
- TAWIRI yawakaribisha wadau kufanya tafiti katika spishi muhimu ya Sokwe
- Tanzania ina umeme wa kutosha – Dk Biteko
- WanaCCM 153 Tabora wajitokeza kuwania ubunge
- Bondia Zugo kuwania ubingwa wa dunia Agosti 23
- Lindi yajivunia mchango wa NGOs katika maendeleo
- Dk Mpango ahutubia mkutano wa kimataifa wa mifumo ya Hifadhi ya Jamii
- Ubalozi wa Tanzania, Serikali ya Comoro kufanyia kazi ofa ya walimu wa Kiswahili ya Rais Samia