Latest Posts
Barack Hussein Obama ni nani?
Barack Hussein Obama alizaliwa Agosti 4, 1961. Ni Rais wa 44 na Rais wa sasa wa Marekani. Ni Raia wa Marekani na Rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushika wadhifa huo. Pia ni mtu wa kwanza aliyezaliwa Hawaii kushika nafasi hiyo.
FASIHI FASAHA
Haki, ukweli ni nguzo za amani – 4
Katika makala tatu zilizotangulia nimezungumzia baadhi ya viongozi wa dini, siasa na wa serikali kutupilia mbali maadili na miiko ya uongozi na kuwa chanzo cha kutaka kuvunja amani ya nchi. Pili, haki na ukweli ni nguzo za amani.
Walioficha mabilioni Uswisi wahojiwa
*Kwenye orodha wamo majenerali wa JWTZ
*Mboma, Sayore, Yona, Chenge, Mgonja ndani
*AG akiri kazi ni ngumu, aomba waongezwe muda
*Asema mwanga muhimu umeanza kuonekana
Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchunguza Watanzania walioficha fedha kwenye mabenki ughaibuni, imeshawahoji vigogo, wakiwamo mawaziri wa zamani, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wanasiasa na wafanyabiashara maarufu.
Yah: Bajeti ikusanyiwe maoni kama katiba
Nilikuwa nasikia kutoka kwa watu kwamba bajeti ni vilio kila kona, sikuelewa, kwa sababu bajeti si msiba ama majanga lakini nilipoipata baada ya hiyo digitali kunifikia, nimeona huo msiba ni wa aina gani.
KAULI ZA WASOMAJI
Gharama KCMC zinatisha
Serikali inajitahidi kuboresha huduma kwa wananchi wenye kipato cha chini, lakini baadhi ya hospitali haziko kwa ajili ya huduma za tiba ila ni biashara tu! Ni Watanzania wangapi wanaweza kumudu gharama za sasa za KCMC kama sio kufa kwa wagonjwa?
Mtanzania mzalendo, Moshi
UWASATA wasaka nguvu kusaidia yatima
Umoja wa Watuma Salamu Tanzania (UWASATA) unahitaji nguvu ya wahisani uweze kuongeza misaada kwa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi nchini.
- Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya
- Rais Dkt. Samia akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo
- Rais Dkt. Samia akipokea Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award
- Rais Dkt. Samia ateta na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania
- DIT Mwanza yaanzisha kozi mpya ya Teknolojia ya Uchakataji Ngozi
Habari mpya
- Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya
- Rais Dkt. Samia akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo
- Rais Dkt. Samia akipokea Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award
- Rais Dkt. Samia ateta na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania
- DIT Mwanza yaanzisha kozi mpya ya Teknolojia ya Uchakataji Ngozi
- Waziri Mkuu Majaliwa afungua kikao cha viongozi TRA
- Tanzania, Korea kufanya mradi wa upanuzi wa mfumo wa Gothomis
- TPDC yapata tuzo ya taasisi bora Sabasaba kwa miaka mitano mfululizo
- TASAC yatoa wito kwa wazazi kuwapeleka watoto kusomea ubaharia
- REA yajizatiti kufikisha lengo la taifa kwenye sekta safi ya kupikia
- ‘Kiswahili ni urithi na alama ya umoja kwa nchi za Afrika Mashariki na Bara zima’
- Balozi Hamad ateta na Rais wa Bunge la Jamhuri Msumbiji
- Soma Gazeti la Jamhuri Julai 8-14, 2025
- Adam Malima Ataka Mkuranga wasirudie Makosa
- ACT-Wazalendo : Tunachunguza uhalali wasimamizi wa uchaguzi waliotangazwa