Latest Posts
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kuchinja si tatizo, tatizo ni udini
Wiki hii nimelazimika kuandika tena mada hii. Nimeiandika mada hii baada ya kuona moto unazidi kusambaa nchi nzima. Tatizo lilianzia Kanda ya Ziwa kwenye mikoa ya Mwanza na Geita, likaenda Shinyanga, lakini sasa limehamia Tunduma.
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
Mchele wakosa soko Same
Wakulima wa mpunga wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wameeleza kushangazwa na uamuzi wa Serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka nje ya nchi, wakati wao wamekosa wanunuzi wa tani 15,000 za bidhaa hiyo hapa nchini.
Habari mpya
- Kilo 37,197 za dawa za kulevya zakamatwa na DCEA, 64 wakamatwa
- Norland na mkakati wa kuenea nchi nzima
- CBE na SWUFE ya China wasaini ushirkiano wa kitaaluma
- Trump, Netanyahu wakutana tena kumaliza vita ya Gaza
- Idadi ya waliofariki kwa maandamano Kenya yafikia 31
- Majaliwa aitaka TRA kuendelea kuongeza ufanisi ukusanyaji kodi
- NIT yaanza kutoa mafunzo ya urubani, yawataka vijana kuchangamkia fursa
- Sagini: Huduma ya Msaada wa Kisheria kwa wananchi kupatiwa kipaumbele
- Balozi Shaibu ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus
- Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya
- Rais Dkt. Samia akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo
- Rais Dkt. Samia akipokea Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award
- Rais Dkt. Samia ateta na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania
- DIT Mwanza yaanzisha kozi mpya ya Teknolojia ya Uchakataji Ngozi
- Waziri Mkuu Majaliwa afungua kikao cha viongozi TRA